INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

asante kiongozi, unajua. katika biashara tunakutana na wateja wa aina na akili tofauti hivyo changamoto wanazotupa ndio zinatufanya tunakomaa ktk masuala ya customer care

Ni kweli kabisa na kwa jinsi waTz tulivyo, hakika kutuhudumia inahitaji uwe na uvumilivu wa kimalaika.
Nimependa pia options mlizoweka za mteja akitaka alete materials zake nanyi mpige kazi tu. Hiyo imekaa poa sana. Business diversification!
 
Ni kweli kabisa na kwa jinsi waTz tulivyo, hakika kutuhudumia inahitaji uwe na uvumilivu wa kimalaika.
Nimependa pia options mlizoweka za mteja akitaka alete materials zake nanyi mpige kazi tu. Hiyo imekaa poa sana. Business diversification!
nashukuru kwa kunitia moyo ndugu, karibu sana
 
upload_2017-4-20_9-19-33.png


Miye ningependa kujua bei ya hiki peke yake
 
Mkuu nikihitaji aina hii Bei itakuwa kiasi gani? Nahitaji 2-seater n 1-seater sofas.
 

Attachments

  • tapatalk_1492669741788.jpeg
    tapatalk_1492669741788.jpeg
    33.9 KB · Views: 145
sisi tunatengeneza sofa za design mbali mbali. ila hizo L shep ndio zinazotupatia wateja weng kwa sasa ndiomaana utazikuta kwa wingi ofisin kwangu. ila wewe kama unataka sofa la design yoyote utatengenezewa na hata ukitaka vifaa kununua mwenyewe ili husiwe na wasi wasi wa quarity sisi tutakufanyia kazi tu, tena hata apo apo nyumbani kwako au popote upendapo wewe.
Quarity x=quality √
Apo apo x=hapo hapo√
 
wala hujakosea kiongozi, ila maelewano ninayoyazungumzia apo ni ya aina nyingi, hizo bei nilizoweka hapo ni za pamoja na usafir, hivyo kama mteja akiwa na usafiri wake au anaishi jirani na eneo office ilipo ni lazima bei ishuke, pia mda mwengine mteja haitaji seti nzima bali anahitaji viwili au vitatu hivyo na hapo pia ni lazima pawe na maelewano na mwisho kabisa wateja wengi ukiwatajia bei yako kabisa mf: 890,000 kwa seti, yeye ataomba umpunguzie na husipompunguzia hata 10,000 basi ujue hatanunua uyo, hivyo sisi tunafanya biashara kulingana na mfumo wa uuzaji ulivyo, i mean wateja ndo wanaotulazimisha tuuze hivi.
Husipompunguzia. X= usipompunguzia√
 
asante ndugu kwa ushauri wako mzuri, hakika ubora (quarity) katika kazi zangu ndio kitu ninachozingatia, nina experience ya Siku nyingi na kazi hii, i know what my customers need, karibu sana ndugu,
Quarity X=quality √
 
Naomba kuona bed set
ndugu, kwa sasa hatuna mzigo wa bed set kwasababu ofisi/showroom yetu ya yombo ambayo ndio ilikua na bed set na thamani nyengine iliungua moto na furniture zote zilizokuwemo mwishoni mwa mwaka Jana, na ofisi zetu zilizobaki za Mtoni mtongani, Keko na tabata hazna bed set ila kwakua mafundi wetu wa vitanda bado wapo hapa hapa ofisini tunaweza kukutengenezea kama unahitaji!!.
 
Back
Top Bottom