ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 385
- 298
- Thread starter
- #81
asante na karibu sanaKazi nzuri nitakucheck
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante na karibu sanaKazi nzuri nitakucheck
asante kiongozi, unajua. katika biashara tunakutana na wateja wa aina na akili tofauti hivyo changamoto wanazotupa ndio zinatufanya tunakomaa ktk masuala ya customer care
nashukuru kwa kunitia moyo ndugu, karibu sanaNi kweli kabisa na kwa jinsi waTz tulivyo, hakika kutuhudumia inahitaji uwe na uvumilivu wa kimalaika.
Nimependa pia options mlizoweka za mteja akitaka alete materials zake nanyi mpige kazi tu. Hiyo imekaa poa sana. Business diversification!
ok, karibu sana ndugu,Kazi nzuri ngoja tuokoteze kwanza.
Mkuu nitakutafuta through emailok, karibu sana ndugu,
ok, email yang ni eliusmoris2@gmail.com. karibu sanaMkuu nitakutafuta through email
Poa [emoji106]ok, email yang ni eliusmoris2@gmail.com. karibu sana
hiko ni tsh laki mbili na nusu (250,000) ndugu
kiongozi hiyo ni tsh 1300,000 kwa seti pamoja na hivyo vimeza vyakeMkuu nikihitaji aina hii Bei itakuwa kiasi gani? Nahitaji 2-seater n 1-seater sofas.
Quarity x=quality √sisi tunatengeneza sofa za design mbali mbali. ila hizo L shep ndio zinazotupatia wateja weng kwa sasa ndiomaana utazikuta kwa wingi ofisin kwangu. ila wewe kama unataka sofa la design yoyote utatengenezewa na hata ukitaka vifaa kununua mwenyewe ili husiwe na wasi wasi wa quarity sisi tutakufanyia kazi tu, tena hata apo apo nyumbani kwako au popote upendapo wewe.
Naomba kuona bed set
zipo kiongozi hata bed seti tunazo pia, sisi no mafundi na wauzaji wa furniture kwa ujumla, katika ofisi yetu ya utengenezaji keko tuna kila kitu. karibu mkuu![]()
asante kwa kunielekeza ndugu, karibu sanaQuarity x=quality √
Apo apo x=hapo hapo√
Husipompunguzia. X= usipompunguzia√wala hujakosea kiongozi, ila maelewano ninayoyazungumzia apo ni ya aina nyingi, hizo bei nilizoweka hapo ni za pamoja na usafir, hivyo kama mteja akiwa na usafiri wake au anaishi jirani na eneo office ilipo ni lazima bei ishuke, pia mda mwengine mteja haitaji seti nzima bali anahitaji viwili au vitatu hivyo na hapo pia ni lazima pawe na maelewano na mwisho kabisa wateja wengi ukiwatajia bei yako kabisa mf: 890,000 kwa seti, yeye ataomba umpunguzie na husipompunguzia hata 10,000 basi ujue hatanunua uyo, hivyo sisi tunafanya biashara kulingana na mfumo wa uuzaji ulivyo, i mean wateja ndo wanaotulazimisha tuuze hivi.
Hebu Soma vizuri nilichokiandika then ujibu Kama nilivyouliza. Mimi sihitaji seti naulizia Bei ya sofa ya watu wawili na sofa ya mtu m1.kiongozi hiyo ni tsh 1300,000 kwa seti pamoja na hivyo vimeza vyake
Quarity X=quality √asante ndugu kwa ushauri wako mzuri, hakika ubora (quarity) katika kazi zangu ndio kitu ninachozingatia, nina experience ya Siku nyingi na kazi hii, i know what my customers need, karibu sana ndugu,
ndugu, kwa sasa hatuna mzigo wa bed set kwasababu ofisi/showroom yetu ya yombo ambayo ndio ilikua na bed set na thamani nyengine iliungua moto na furniture zote zilizokuwemo mwishoni mwa mwaka Jana, na ofisi zetu zilizobaki za Mtoni mtongani, Keko na tabata hazna bed set ila kwakua mafundi wetu wa vitanda bado wapo hapa hapa ofisini tunaweza kukutengenezea kama unahitaji!!.Naomba kuona bed set
kwa hizo mbili zote ni tsh 550,000Hebu Soma vizuri nilichokiandika then ujibu Kama nilivyouliza. Mimi sihitaji seti naulizia Bei ya sofa ya watu wawili na sofa ya mtu m1.