ELIAS MICHAEL MORRIS
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 385
- 298
- Thread starter
- #181
hapana ndugu bado tupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio ndugu babo zinapatikana wasiliana nasi kupitia namba mbari mbari tulizokwisha ziweka ktk uzii huu.Mkuu hizi vitu bado zinapatikana?
Ndugu niliwahi kukupigia simu ukaniambia ofisi zipo mtongani, siku ya pili nimefika mtonhani nakupigoa simu ukaniambia upo gomzndio ndugu babo zinapatikana wasiliana nasi kupitia namba mbari mbari tulizokwisha ziweka ktk uzii huu.
0769954870.
0657571144.
0678133449.
0621038229
au eliusmoris2@gmail.com
Umekaa kitapeli tapeli. Unapigiwa unadanganya ulipohapana ndugu bado tupo
kaka unalazimisha nionekane tapeli hila mimi siko mimi ofisi zangu zipo mtoni mtongani na tabata shule sasa uyo alochomaanisha kua alinipigia siku y kwanza nkamwambia npo mtongan yani ofisini ila siku nyengine alipokuja nikamwambia nipo goms japo m sikumbuki ayo mawasiliano yangu n yeye hila nazani nilimjibu hvyo kwakua goms ndio eneo nililokuwepo mimi kwa wakati uo hila ofisi yangu ilikuwepo pale pale mtongani, alafu ndugu si vizuri kumuukumu mtu bila kua n uhakika mimi humu jf nishafanya kazi na watu wengi mno yani wengine hata siwakumbuki na hakuna ata mmoja niliewai kumfanyia uhuni na kuna wengine walisoma tangazo langu humu humu wakanipigia simu tukaelewana nao bei n wakantumia hela bila ata kuwai kukutana nikaifanya kazi yao n wakaja wakaikuta, au km kuna mtu nimewai mtapeli aseme humuUmekaa kitapeli tapeli. Unapigiwa unadanganya ulipo
Karibuni!kalibuni
Samahani kaka, unaweza kufuta hii post uliyoniquote?ok ndugu, japo leo sikuwepo ofisini wakati ulipokuja ila naamini vijana wangu walikuudumia vizuri ndugu, karibu sana ndugu.
Mkuu, nipe gharama ya hii simple sofa.ok ndugu, japo leo sikuwepo ofisini wakati ulipokuja ila naamini vijana wangu walikuudumia vizuri ndugu, karibu sana ndugu.
Kaka unaonekana una hela uuuwiii...Mkuu, nipe gharama ya hii simple sofa.
View attachment 1699122
ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO:
1. Ongeza back pillow moja upande wa kulia ili 4 back pillows (lengo lisizidi urefu wa ft 10)
2. Godoro lenye ubora
3. Kochi liwe limenyooka kama linavyoonekana.
4. Kitambaa bora kabisa lakini sio leather.
Na hii hapa chini kama ilivyo
View attachment 1699127
NB: Ni serious buyer, nikiona gharama zinaendana na bajeti basi nitamtuma mtu ofisini kwako muyajenge.
Umesoma alichoandika?Kaka unaonekana una hela uuuwiii...
Maana hilo sofa la juu sio chini ya $12,000 pale City Mall
Hivi wale jamaa unavyowaona unadhani wana akili mzuri?! Sofa ya 2.5M Keko wao utawasikia 9MKaka unaonekana una hela uuuwiii...
Maana hilo sofa la juu sio chini ya $12,000 pale City Mall