INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

INAUZWA Jipatie mzigo mpya(SOFA SETS)

Umekaa kitapeli tapeli. Unapigiwa unadanganya ulipo
kaka unalazimisha nionekane tapeli hila mimi siko mimi ofisi zangu zipo mtoni mtongani na tabata shule sasa uyo alochomaanisha kua alinipigia siku y kwanza nkamwambia npo mtongan yani ofisini ila siku nyengine alipokuja nikamwambia nipo goms japo m sikumbuki ayo mawasiliano yangu n yeye hila nazani nilimjibu hvyo kwakua goms ndio eneo nililokuwepo mimi kwa wakati uo hila ofisi yangu ilikuwepo pale pale mtongani, alafu ndugu si vizuri kumuukumu mtu bila kua n uhakika mimi humu jf nishafanya kazi na watu wengi mno yani wengine hata siwakumbuki na hakuna ata mmoja niliewai kumfanyia uhuni na kuna wengine walisoma tangazo langu humu humu wakanipigia simu tukaelewana nao bei n wakantumia hela bila ata kuwai kukutana nikaifanya kazi yao n wakaja wakaikuta, au km kuna mtu nimewai mtapeli aseme humu
 
ok ndugu, japo leo sikuwepo ofisini wakati ulipokuja ila naamini vijana wangu walikuudumia vizuri ndugu, karibu sana ndugu.
Mkuu, nipe gharama ya hii simple sofa.

Sofa.jpg

ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO:

1. Ongeza back pillow moja upande wa kulia ili 4 back pillows (lengo lisizidi urefu wa ft 10)
2. Godoro lenye ubora
3. Kochi liwe limenyooka kama linavyoonekana.
4. Kitambaa bora kabisa lakini sio leather.

Na hii hapa chini kama ilivyo

Sofa2.png


NB: Ni serious buyer, nikiona gharama zinaendana na bajeti basi nitamtuma mtu ofisini kwako muyajenge.
 
Mkuu, nipe gharama ya hii simple sofa.

View attachment 1699122
ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO:

1. Ongeza back pillow moja upande wa kulia ili 4 back pillows (lengo lisizidi urefu wa ft 10)
2. Godoro lenye ubora
3. Kochi liwe limenyooka kama linavyoonekana.
4. Kitambaa bora kabisa lakini sio leather.

Na hii hapa chini kama ilivyo

View attachment 1699127

NB: Ni serious buyer, nikiona gharama zinaendana na bajeti basi nitamtuma mtu ofisini kwako muyajenge.
Kaka unaonekana una hela uuuwiii...
Maana hilo sofa la juu sio chini ya $12,000 pale City Mall
 
Back
Top Bottom