Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Saint Anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
76,039
Reaction score
230,142
Hello my Customers [emoji4]

Njoo unukie kitajiri,kuwa nadhifu.
Jipatie perfumes mbalimbali kwa bei ya 25,000 na kendelea

0787530827 Whatsapp

Perfumes ni nzuri sana, Yaani unanukia na kunukia tena[emoji91],zipo za kiume na za kike pia.

Mousuf(Kigunia)
Ninazo zote aina 3
Hii mousuf inajieleza yenyewe ,ni habari ya mjini kwa sasa[emoji91]

Ramz Lataffa
Hii inapendwa sana na Magentlemen[emoji4]
Imetulia mno,ni taamu[emoji3531]

Aventos
Unanukia kitajiri[emoji91]Unanukia kiume

Suspenso
Kwa mbali inaendana na Sauvage
Ni nzuri mno [emoji91]
Kwa wale wanaume wanapenda marashi yanayoshtua,hii uapa

24 hours
Kama jina lake lilivyo,24 hours unanukia[emoji91]
Nzuri sana,imetulia,,,Watoto wa Mtume
Hii ndo yenyewe[emoji91]

Na nyingine nyingi zipo.

Nitaweka picha za baadhi za perfumes.
...................


......
Nina deodorant Old spice 20,000K
Haikomazi kwapa&nguo, na inakaa muda mrefu(hata 4months)
Ukinunua kuanzia 3 bei inapungua[emoji4] Hadi 15000/=


Bavaria
Wale wanaopenda marashi makali chukua hii kitu[emoji91][emoji108]

Rose seduction temptation
Ladies[emoji7][emoji108]
Chukulia hii kitu mwanamke wako,
Utanishukuru baadaye [emoji91]


YEAH
Gentleman ukipuliza hii hakuna pisi itakuchomolea[emoji23][emoji91]
Karibuni Anne Collection


 
 
Wale wapenzi wa black Opium [emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii hapa.
Kama mnavyojua,Black opium Haina mpinzani[emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Unapata set nzima kwa 30k tu!
Yaani elfu 10 tatu tu!

Ndani Kuna;-
Perfume
Shower gel
Lotion

Yaani unanukia kiblack opium Kila mahala aloo

Niambie upo wapi nikuletee hadi kwenye stand ya daladala[emoji91]
 
Sauvage Dior
Sauvage Elixir
25k +255 787 530 827 Whatsapp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…