Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Asante anfield si unatuma [emoji16] , natania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi kule darajani kwa timu za maporomokoni chelsii natuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mzigo mwingine umeshafika
Deodorant nzuri za old spice
15,000/= tu kuanzia 2.
Dar free delivery,mkoani natuma.
+255 787 530 827 Whatsapp

Ni alminiun salt free hivyo hazikomazi kwapa
Kwapa haliwi jeusi
Pia hazikomazi nguo eneo la kwapa.

Ni nzuri sana harufu yake,unatembea kwa uhuru huku kwapa lako likinukia.

Inakaa muda mrefu,unaweza kutumia hata miezi 3 hadi 4.

Ndani ipo kama pipi mfano wa icecream..unakuwa unapaka tu.

IMG_20230221_122102_071.jpg
IMG_20230221_122052_083.jpg
 
Nataka kunukia vzur wadada wageuke ,x22 , nipe maujanja
Tafuta perfume ya kiume unayoipenda

Ziko nyingi,inategemea unataka ipi.

Tumia Deodorant kuweka kwapa lako safi.

Unaweza kuwa na perfume lakini kwapani kukawa hovyo.

Ili uwe smart tumia vyote perfume na Deodorant.

Pia waweza kuchanganya perfumes mbili .
Perfumes nyingi ni common kwa watu, ili kuweka utofauti waweza combine perfumes mbili na ukatoa combo ambayo ni ya pekeyako,nzuri mno.
 
Nichagulie uniwekee na bajeti alaf nikwambie uniletee lini , ulete mwenyewe sio boda
 
Nichagulie uniwekee na bajeti alaf nikwambie uniletee lini , ulete mwenyewe sio boda
Delivery nafanya mwenyewe.

Perfume chukua aventos 25,000
Nyingine nzuri ni Mousuf 25,000
Deodorant za old spice 15,000(Unaweza chukua za Nivea za 5000 ila hizi zinakomaza kwapa na zinakomaza nguo)
 
Delivery nafanya mwenyewe.

Perfume chukua aventos 25,000
Nyingine nzuri ni Mousuf 25,000
Deodorant za old spice 15,000(Unaweza chukua za Nivea za 5000 ila hizi zinakomaza kwapa na zinakomaza nguo)
Jumamos jioni baada ya ibada ya sabato uniletee Kibamba delin
 
Back
Top Bottom