Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
- Thread starter
- #61
Hii comment sijui niliipita vipiFighting temptation ni kiasi gani ?
Nisamehe Mkuu
Inarange 25-30k kulingana na sehemu unaponunua
Ila mimi sina.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment sijui niliipita vipiFighting temptation ni kiasi gani ?
Wengi wanatumia Dove
KaribuNtakutafuta...
Wengi wanatumia Dove
Wale wanaopenda products za asili zaidi na Wana matatizo ya ngozi, kuna products za Mahillo wa Songea.
Sabuni yake ni nzuri sana.
Kwa faida ya wengine ambao wangeuliza.sasa kwani umeweka hadi ugonjwa wa ngozi kwenye jibu langu we Saint Anne ?
Hii sinaYolanda
MkuuJumamos jioni baada ya ibada ya sabato uniletee Kibamba delin
Kila mtu ana namna yake ya kufanya biasharaIla hawa wauzaji wa mitandandaoni wanashida mahali unaeka biashara eti namba haeki mpaka umfate dm haha utakuta insta mtu anapost unamuuliza bei eti njoo dm ili akupige vizur,kama umeamua kufanya biashara weka kila kitu hapo mtu akipenda atakurukia hewani mwenyew!