Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Hello my dear customers
Kwa wale waliopo Mbeya na wanataka Perfume

Nina Aventos
Mousuf pink na kijani
Deodorant za old spice
IMG-20230128-WA0017.jpg
 
Mkuu kwa ushauri ungeweka perfume Kwa utambuzi kama ni ya kike au ya kiume ,wengine wanaweza jichanganya.,ni hayo tu.
 
Mkuu kwa ushauri ungeweka perfume Kwa utambuzi kama ni ya kike au ya kiume ,wengine wanaweza jichanganya.,ni hayo tu.
Nyingi nimezitolea maelezo kwenye uzi mkuu..
Na pia kama itatokea mtu anahitaji maelezo zaidi basi nitamuelezea .
 
Hello my pipo[emoji847]
Haka kadude kanapendeza
Ni kazuri jamani [emoji91]
Hasa kwa wanawake.
25k

Njoo muwanunulie wake zenu, mama zenu, mabinti zenu, Dada zenu.
Ina harufu tamu sana yenye vanilla kwa mbaali .
Siongei sana.. ukiitumia utaona balaa lake.
IMG-20230324-WA0068.jpg
 
Inajieleza 25k
Waweza jisurprise mwenyewe au ukamsurprise mtu wako wa karibu
IMG-20230324-WA0014.jpg
 
Mousuf Brown ipo ya kutosha
Perfume yetu pendwa hii

Bei ya jumla na rejareja

Karibuni.

ipo Mousuf nyingine pia,
Pink na green

25k
IMG-20230325-WA0013.jpg
IMG-20230322-WA0011.jpg
IMG-20230302-WA0014.jpg
 
Berries weekend
Kwa akina Dada [emoji108][emoji91]
IMG-20230324-WA0015.jpg
 
Wale wapenzi wa black Opium [emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii hapa.
Kama mnavyojua,Black opium Haina mpinzani[emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Unapata set nzima kwa 30k tu!
Yaani elfu 10 tatu tu!

Ndani Kuna;-
Perfume
Shower gel
Lotion

Yaani unanukia kiblack opium Kila mahala aloo

Niambie upo wapi nikuletee hadi kwenye stand ya daladala[emoji91]View attachment 2517181

Hello Saint Anne,
Black opium na ya kike?
Lotion yake kwa ngozi ya mafuta inafaa?
 
Back
Top Bottom