Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Soulmate

Your soulmate
IMG-20230324-WA0014.jpg
 
Hello my dears
Ni kitambo kimepita sijapost
Mambo yaliingiliana.

Bado nauza perfumes jamani..
Mkuje wengi binti yenu nipate kula[emoji23]
 
Nimewaletea mini perfumes
30mils.

Elfu 5 tu
Ni perfumes nzuri sana, harufu tamuu
Sawa na zile nyingine ninazowauzia,, tofauti yake ni ujazo tu.

Ninazo nyingiiii
Ukichukua kuanzia 5 bei inapungua.

0787530827 Whatsapp.
Tafadhali, kama Unahitaji nitumie msg watsap ama normal text...
Simu naweza nisipokee Kwa wakati wapendwa wateja wangu maana maisha mengine pia yanaendelea.

View attachment 2637263View attachment 2637260View attachment 2637261View attachment 2637259View attachment 2637262View attachment 2637264View attachment 2637265View attachment 2637266
IMG-20230416-WA0005.jpg
 
Wale wapenzi wa black Opium [emoji7][emoji91][emoji91][emoji91]
Hii hapa.
Kama mnavyojua,Black opium Haina mpinzani[emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Unapata set nzima kwa 30k tu!
Yaani elfu 10 tatu tu!

Ndani Kuna;-
Perfume
Shower gel
Lotion

Yaani unanukia kiblack opium Kila mahala aloo

Niambie upo wapi nikuletee hadi kwenye stand ya daladala[emoji91]View attachment 2517181
Dada hii hapa nimeipenda mnooo, [emoji8][emoji8][emoji8]
 
Back
Top Bottom