Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Jipatie Perfumes & Deodorant DSM, Nafanya delivery, Mikoani Natuma

Mkuu habari mnisaidie tu kujua hii perfume inaitwaje, nliinunua kwenye maonesho ya kichina box ndo liliandikwa sasa nlilitupa , hii imeisha imebidi nizunguke madukani na kichupa kila duka haipo
IMG_20230218_123345.jpg
 
Mkuu habari mnisaidie tu kujua hii perfume inaitwaje, nliinunua kwenye maonesho ya kichina box ndo liliandikwa sasa nlilitupa , hii imeisha imebidi nizunguke madukani na kichupa kila duka haipoView attachment 2522112
Nashindwa kutambua ni ipi maana hizi bottles huwa zinafanana mara nyingine.

Ipige picha kwa kuisimamisha labda naweza gundua kitu.
 
Back
Top Bottom