The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Hizi bila shaka ni fake. Rado haziwezi kuuzwa kwa bei ya chni namna hii.
Discover Swiss Ceramic Design Watches | RADO® Watches Finland
Discover Rado's large selection of automatic, ceramic, chronographs and designer watches for men and women.www.rado.com
Kwa mtazamo wangu, hakuna kitu fake. Ni Bora kutumia neno kiwango duni au ubora mdogo.
Kila kitu kinatengenezwa kulingana na soko lengwa. Simu tunazotumia, nguo, TV Hadi magari ni Yale yamelengwa soko letu huku tuweze kumudu Bei. Zikija zile zenyewe watakaoweza kununua wachache sana
Hata perfumes brand hizi zinakuja huku huko kwao Hadi za USD 400 au USD 600 kwetu unazipata Kwa Tzs 300k au 400k. Bila shaka utakua umenielewa.