TV4Sale Jipatie Smart TV kwa bei ya kiwandani

Mbona namba yako haiko wasapu
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
𝐇𝐢𝐲𝐨 𝐛𝐞𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐬𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐓𝐬𝐡 𝐧𝐠𝐚𝐩𝐢?
 
Unataka tuanze kuoneshana mihuri? Pia uelewa wako mdogo kwahiyo viwanda vikitengeneza vinagawa bure? Unajitambua? Unaniambia eti hata nje sijawahi toka bro mm nishajaza passport mpaka nimepewa mpya alafu unaweza kusafiri still ukawa mshamba
 
Eti unalipia ile bei ya kiwandani halafu unasubiria mzigo ukifika unaenda kulipia usafiri ndiyo unachukua! Hapa kuna kila dalili za watu kulizwa!
Ukiona umeanza kuwaza hvyo ujue unadalili ya kutokuwa na pesa mbona magari watu wanalipia wanasubiri likifika wanalipia kodi? Au hujui?
 
Bado zipo mkuu, kwa bei hiyo inabidi nifungue duka huku Arusha unietee mzigo
 
Jamani nakumbuka nilisema nitaleta mrejesho nikishawatembelea,
Hawa mabwana niliwatafuta niliambulia kupelekwa kakriakoo kwenye mabanda yao
na aliyenipeleka inaonesha ni dalali maana alinipeleka kwa watu na bidhaa zao hazikuwa bora ofisi imekaa kama ni ya mafundi.

Niwieni radhi kama nimeharibu soko, ila ninaeleza nilichokutana nacho.tukumbuke pesa tunapata kwa tabu inabidi tutumie kwa raha siyo karaha.
 
Asante mkuu Kwa mrejesho maana tungepigwa hapa🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…