TV4Sale Jipatie Smart TV kwa bei ya kiwandani

TV4Sale Jipatie Smart TV kwa bei ya kiwandani

KUPITIA SISI KUMILIKI TV NI KITU RAHISI JIPATIE TV KWA BEI YA KIWANDANI KUTOKACHINA KAMA IFUATAVYO

SPECIAL BIG ODA TV SMART

BRAND:SAMSUNG / LG

💫32@160000
💫43@300000
💫50@480000
💫55@500000
💫65@540000
💫75@740000
💫85@1040000
💫100@4000000

Smart TV zote
0713861567
Bei zote bila usafiri

TV zikifika unalipia usafiri maana ni TV za kuagiza.

View attachment 3033981
Mbona namba yako haiko wasapu
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
𝐇𝐢𝐲𝐨 𝐛𝐞𝐢 𝐲𝐚 𝐮𝐬𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐓𝐬𝐡 𝐧𝐠𝐚𝐩𝐢?
 
Nani kasema sijui. Nimesema kwa uhakika kabisa wewe huna uwezo wa kununua TV kama LG viwandani. Kwanza viwandani hawauzi kazi yao ni kutengeneza tu. Nakuambia kitu nachokijua. Wewe ungesema tu unauza kwa bei rafiki lakini siyo eti bei ya viwandani. Uelewa wako ni mdogo sana na huenda hata nje ya Bongo hujatoka.
Unataka tuanze kuoneshana mihuri? Pia uelewa wako mdogo kwahiyo viwanda vikitengeneza vinagawa bure? Unajitambua? Unaniambia eti hata nje sijawahi toka bro mm nishajaza passport mpaka nimepewa mpya alafu unaweza kusafiri still ukawa mshamba
 
Eti unalipia ile bei ya kiwandani halafu unasubiria mzigo ukifika unaenda kulipia usafiri ndiyo unachukua! Hapa kuna kila dalili za watu kulizwa!
Ukiona umeanza kuwaza hvyo ujue unadalili ya kutokuwa na pesa mbona magari watu wanalipia wanasubiri likifika wanalipia kodi? Au hujui?
 
Bado zipo mkuu, kwa bei hiyo inabidi nifungue duka huku Arusha unietee mzigo
 
Jamani nakumbuka nilisema nitaleta mrejesho nikishawatembelea,
Hawa mabwana niliwatafuta niliambulia kupelekwa kakriakoo kwenye mabanda yao
na aliyenipeleka inaonesha ni dalali maana alinipeleka kwa watu na bidhaa zao hazikuwa bora ofisi imekaa kama ni ya mafundi.

Niwieni radhi kama nimeharibu soko, ila ninaeleza nilichokutana nacho.tukumbuke pesa tunapata kwa tabu inabidi tutumie kwa raha siyo karaha.
 
Asante mkuu Kwa mrejesho maana tungepigwa hapa🙏🙏
 
Back
Top Bottom