Pole sana mkuu, uliuziwa wapi ivyo?Viatu ukivaa wiki2 tu havifai tena...utadhani disposable
Ndio hivyo kiatu inajidhiri yenyewe!Hili neno original mnalipenda sana. Hivi humuogopi Mungu kwa huo uongo wako?
Karibu sana
Viatu vizuri unavoongeza picha ambatanisha na bei kabisa
Huu siyo utapeli ndioHuuu siyo utapeli.
Karibu ata usiwe na shakaHuuu siyo utapeli.
Unataka sampo ipi hapo
Sijaielewa ni ipi mkuuHiyo ya blue ya kwanza kabisa
Sijaielewa ni ipi mkuu
Ni Tsh 10000 tuIcho cha dark blue cha kutumbukiza, kipo pekee pair moja tuu
Ndio hakuna! Vya kike tu vinapatikanavya kiume hakuna???
Ni Tsh 10000 tu
Tunakutumia kwa busNampataje? Dom