Jipatie viatu kwa bei poa kabisa, jumla na rejareja

Jipatie viatu kwa bei poa kabisa, jumla na rejareja

Ntakutafuta mkuu nipo Mbeya lkn next week nitakua dar kama utaniuzia kwa bei nzuri tutafanya biashara
Nataka nianze hio biashara bukhy
 
Ntakutafuta mkuu nipo Mbeya lkn next week nitakua dar kama utaniuzia kwa bei nzuri tutafanya biashara
Nataka nianze hio biashara bukhy
Karibu sana mkuu tufanye biashara bei hatutashindwana
 
658fd052799fe0daf4cbc6851b4656c2.jpg

Tsh7500
 
Offa ya msimu wa sikukuu isikupe! Wahi sasa ujipatie viatu kwa bei poaaaa
 

Chukua vile vi sticker vinavyotumikaga supermarket kuonesha bei ya bidhaa . Bandika kwa kila kiatu (sample) vikielezea price ya kila kiatu. Otherwise unatuchosha na picha zako nzuri . Pia uwe na batch ili kupunguza usumbufu kwa wateja . Mfano mie nataka kiatu batch 1 rangi blue , bei 7500 .

Ni mawazo tu
 
Back
Top Bottom