Karibu sana mkuu tufanye biashara bei hatutashindwanaNtakutafuta mkuu nipo Mbeya lkn next week nitakua dar kama utaniuzia kwa bei nzuri tutafanya biashara
Nataka nianze hio biashara bukhy
Tunakutumia kwa bus
Hii ni kwako mkuugharama juu yenu?
Hii ni kwako mkuu
lakini kwa Dar unaletewa popote ulipo
Gharama yake kiasi cha kawaida tuDuuh... mimi nipo dar lkn nahitaji kumfikishia mtu dom
Mikoani unatuma mzigo wa jumla?Picha namba 1,4,6,7,8 bei ni tsh10000
namba 2 ni tsh4500
namba 5 ni 6000
Ndio utatumiwa, kwani uko mkoa ganiMikoani unatuma mzigo wa jumla?
Ungekuwa unaweka bei kwa kila sample mkuuKuanzia pea 5 utauziwa bei ya jumla, chagua sampo unayotaka utajiwe bei maana kila kiatu na bei yake
Mwanzo nilikuwa siweki ila kwa sas nitafanya hivyoUngekuwa unaweka bei kwa kila sample mkuu
Nipo Shinyanga mkuu nahitaji kufanya hiyo biashara mkuuNdio utatumiwa, kwani uko mkoa gani
Uko tunakufungia mzigo tunatuma unakufikia mkuuNipo Shinyanga mkuu nahitaji kufanya hiyo biashara mkuu
Poa mkuu takuchekUko tunakufungia mzigo tunatuma unakufikia mkuu