Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,700
- 6,825
- Thread starter
-
- #101
Nimekupata vema mkuuChukua vile vi sticker vinavyotumikaga supermarket kuonesha bei ya bidhaa . Bandika kwa kila kiatu (sample) vikielezea price ya kila kiatu. Otherwise unatuchosha na picha zako nzuri . Pia uwe na batch ili kupunguza usumbufu kwa wateja . Mfano mie nataka kiatu batch 1 rangi blue , bei 7500 .
Ni mawazo tu
Bei ipoje kwa viatu vya kufunika vya kike?Jipatie viatu vizuri na vya kisasa kabisa
Vyakike kwa bei nafuu kabisa
Kuanzia 3500 hadi 11000 jumla na reja reja
Kwa Dar es salaam napatikana kariakoo lakini pia free derivery service ipo popote ulipo utaletewa mzigo,
kwa mikoani usafiri ni uhakika utatumiwa mkoa wowote ule
Kwa maelezo na uhitaji zaidi piga 0766517604/0653250860
Shilingi ngapi?Pair 5 tu