DODOMA
Tunakusaidia kutimiza ndoto yako ya kumaliza mwaka 2023 kwa kununua kiwanja na mwakani kuanza ujenzi!
MLIMWA C, 400 sqm. Bei ni milioni 10
MLIMWA C, 817sqm Bei milioni 15
KITELELA MSALATO, 988 sqm Bei milioni 15
CHAHWA CHAMWINO IKULU, 4350 Sqm Bei ni 14M
MKONZE, 600sqm Bei milioni 7.5
Aidha tuna mashamba mengi mazuri ,
Mpunguzi shamba la ekari mbili Bei milioni 1.2
Chamwino jirani na ikulu shamba la ekari 10 Bei milioni 1.5 kwa ekari
Mpunguzi shamba la ekari 4, Bei 600,000 kwa ekari
Mpunguzi shamba la ekari moja Bei ni 1.5M
Hali kadhalika, Endapo una kiwanja au Shamba unahitaji kuuza ama kununua sehemu yoyote Dodoma tuwasiliane tukusaidie kutimiza ndoto yako!
0743387260
View attachment 2837237