mwanaharakati kijana
Member
- Sep 30, 2019
- 48
- 81
- Thread starter
- #41
Karibu sanaViwanja vya Dodoma bei halali ni kati ya 3m na 8m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaViwanja vya Dodoma bei halali ni kati ya 3m na 8m
Mkuu wewe tayari una Bima ya Afya kwa woteAnauguza mgonjwa mwenye Kansa au? Bima yaAfya kwa wote haijamfikia akimaliza Shamba inafuata Nyumba atauza Biashara akija kushtuka yupo mtaani nyumba ya kupanga noma sana, Mungu amtie wepesi ndugu yetu
Wizara ya Afya Tanzania wana hilo jibu Mimi sinaMkuu wewe tayari una Bima ya Afya kwa wote
Sidhan kama linafaa kwa miwaLinafaa kulima miwa?
Ni kama km 41!Hujasema umbali toka city centre. Wengine hatujawahifika hapo DomCity.
Heka Moja ni Sqm 4,000 kwahiyo kiwanja chako ni Nusu heka na pointMiliki kiwanja Michese Dodoma kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi, lodge, apartments au fremu za biashara. Kiwanja kipo kwenye barabara ya mtaa na kinatazamana na nyumba ya kulala wageni.
Ni kiwanja kikubwa sana 2091sqm, kinakaribia nusu ekari. Kimepimwa, kina documents zote na kipo eneo zuri sana. Huduma za kijamii zipo.
Bei ni milioni 17 tu.
0743387260
View attachment 2933158View attachment 2933159View attachment 2933160
Ila Wewe Jamaa Toka Mjini Mpaka Huko Ndiyo Kilometres 4?Ni kama km 41!
Nyie mapumbavu kila uzi lazima mkoment? Mnajifanya kujua sana , kama vipi fungua googlemap uangalie umbali usisumbue watu hapa bladfakenIla Wewe Jamaa Toka Mjini Mpaka Huko Ndiyo Kilometres 4?
Badilika Acha Mazoea
Ndugu yangu anza kutumia miwani ili uweze kusoma vizuri!Ila Wewe Jamaa Toka Mjini Mpaka Huko Ndiyo Kilometres 4?
Badilika Acha Mazoea
Kutoka city center to michese kilomita 4 ni uongo uliotukuka. Ndio maaña hata daladala za michese nauli ni tofauti na zile route za kawaida.Nyie mapumbavu kila uzi lazima mkoment? Mnajifanya kujua sana , kama vipi fungua googlemap uangalie umbali usisumbue watu hapa bladfaken
Ukilima karibu na ikulu mazao hukomaa cku 30 tu changamkia fursaYani uko Dodoma kukoje yani heka moja million 1.5 karbu na IKULU.?
OkayCHAHWA, CHAMWINO IKULU, DODOMA
Eneo la kiuwekezaji, linakaribia ekari moja. Ni 4350 sqm. Limepimwa tayari. Hapa unanunua then unagawa viwanja unaanza kutengeneza faida kemkem. Ni nyuma ya Ikulu.
Bei ni 14M (slightly negotiable)
0743387260View attachment 2833647