Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba Dodoma

Ardhi ni mali isiyohamishika, haiozi, haiharibiki, haiibiwi, ni investment ambayo haikupi stress na zaidi sana thamani yake inaongezeka kila siku. Ukiinunua leo laki tano, kesho jioni utaiuza zaidi ya laki tano.

Nina habari njema kwako leo mwekezaji, kuna shamba linauzwa Mpunguzi Dodoma. Ni 35km kutoka mjini. Na 5km kutoka barabara ya lami (lipo ndani ndani huko). Shamba hili linafaa kwa kilimo Cha mbogAmboga na matikiti. Unaweza kufanya kilimo Cha umwagiliaji kwa kuchimba kisima Cha mkono maana maji hayapo mbali na ardhi.

Zipo ekari nne, na ekari moja inauzwa laki tano tu. Ndio ni 500,000 tu sababu mwenye shamba ana shida ya haraka inayohitaji pesa kutatuliwa na option pekee aliyo nayo ni kuuza ardhi.

Twende ukalipie leo, upate shamba zuri na muuzaji amalize shida yake.

0743387260

309796510.jpg
1756415632.jpg
 
Ardhi ni mali isiyohamishika, haiozi, haiharibiki, haiibiwi, ni investment ambayo haikupi stress na zaidi sana thamani yake inaongezeka kila siku. Ukiinunua leo laki tano, kesho jioni utaiuza zaidi ya laki tano.

Nina habari njema kwako leo mwekezaji, kuna shamba linauzwa Mpunguzi Dodoma. Ni 35km kutoka mjini. Na 5km kutoka barabara ya lami (lipo ndani ndani huko). Shamba hili linafaa kwa kilimo Cha mbogAmboga na matikiti. Unaweza kufanya kilimo Cha umwagiliaji kwa kuchimba kisima Cha mkono maana maji hayapo mbali na ardhi.

Zipo ekari nne, na ekari moja inauzwa laki tano tu. Ndio ni 500,000 tu sababu mwenye shamba ana shida ya haraka inayohitaji pesa kutatuliwa, na option pekee aliyo nayo ni kuuza ardhi.

Twende ukalipie leo, upate shamba zuri na muuzaji amalize shida yake.

0743387260View attachment 2902295View attachment 2902296
Yani 35kms ekari mnauza laki tano 🙃.Mungu awapambanie
 
Twende ukalipie leo, upate shamba zuri na muuzaji amalize shida yake.
Anauguza mgonjwa mwenye Kansa au? Bima yaAfya kwa wote haijamfikia akimaliza Shamba inafuata Nyumba atauza Biashara akija kushtuka yupo mtaani nyumba ya kupanga noma sana, Mungu amtie wepesi ndugu yetu
 
Back
Top Bottom