Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba Dodoma

Plot4Sale Jipatie Viwanja na Mashamba Dodoma

Anauguza mgonjwa mwenye Kansa au? Bima yaAfya kwa wote haijamfikia akimaliza Shamba inafuata Nyumba atauza Biashara akija kushtuka yupo mtaani nyumba ya kupanga noma sana, Mungu amtie wepesi ndugu yetu
Mkuu wewe tayari una Bima ya Afya kwa wote
 
Miliki kiwanja Michese Dodoma kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi, lodge, apartments au fremu za biashara. Kiwanja kipo kwenye barabara ya mtaa na kinatazamana na nyumba ya kulala wageni.

Ni kiwanja kikubwa sana 2091sqm, kinakaribia nusu ekari. Kimepimwa, kina documents zote na kipo eneo zuri sana. Huduma za kijamii zipo.

Bei ni milioni 17 tu.
0743387260

1667279414.jpg
1542680184.jpg
2067587517.jpg
 
Miliki kiwanja Michese Dodoma kwa ajili ya kujenga nyumba ya kuishi, lodge, apartments au fremu za biashara. Kiwanja kipo kwenye barabara ya mtaa na kinatazamana na nyumba ya kulala wageni.

Ni kiwanja kikubwa sana 2091sqm, kinakaribia nusu ekari. Kimepimwa, kina documents zote na kipo eneo zuri sana. Huduma za kijamii zipo.

Bei ni milioni 17 tu.
0743387260

View attachment 2933158View attachment 2933159View attachment 2933160
Heka Moja ni Sqm 4,000 kwahiyo kiwanja chako ni Nusu heka na point
 
Ila Wewe Jamaa Toka Mjini Mpaka Huko Ndiyo Kilometres 4?
Badilika Acha Mazoea
Nyie mapumbavu kila uzi lazima mkoment? Mnajifanya kujua sana , kama vipi fungua googlemap uangalie umbali usisumbue watu hapa bladfaken
 
Nyie mapumbavu kila uzi lazima mkoment? Mnajifanya kujua sana , kama vipi fungua googlemap uangalie umbali usisumbue watu hapa bladfaken
Kutoka city center to michese kilomita 4 ni uongo uliotukuka. Ndio maaña hata daladala za michese nauli ni tofauti na zile route za kawaida.
 
Back
Top Bottom