Jipatie Vodacom Sme bila malipo Yoyote

Wasiwasi wangu ni kuwa ukishaunganisha line yako na hiyo huduma inakua limited kwa huduma zingine, mfano kwa Airtel Ukiunganisha line yako ya hii SME, upande wa Lipa no haikubali, Kwa voda sijajua itakuaje.

Tukumbuke sahv Technology inakua sana ,usishangae baadaye ukataka kuunganisha esim ikawa haiwezekani, hivi vitu lazima tufikirie kwa upana
 
Aiusiani boss mm natumia na kila huduma napata kama kawaida
 
Sasa ukiandika hivi watu watakuelewa kweli, 10Mb mtu hawezi kujua ni bundle/offer au kitu gani. 10Mbps makes more sense, samahani lakini mkuu!!
Sawa Mkuu πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…