third eye chakra
JF-Expert Member
- Dec 27, 2023
- 918
- 2,160
Niswadakta mkuu.Ni katika kipindi hicho unapaswa kuyaangalia maisha katika picha pana zaidi na tafakuri kuu.. Lakini je ni wangapi wana huo muda? Baadhi ya watu na maisha vinatufundisha ukatili bila kupenda