MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa;
2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi;
3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara;
4. Kupunguza liabilities, mke, mchepuko na mademu kausha damu;
5. KUshiriki kikamilifu kwenye siasa, kuchagua au kuchaguliwa kuwa kiongozi wa kisiasa;
6. Kutoa zaka, sadaka na kusaidia masikini na yatima;
7. Kupanda miti angalau 12 hivi na kusafisha mazingira mara ka mara;
8. Kutembelea wazazi na walezi wako na watoto yatima mara kwa mara;
9. Kuwalinda na kuwajali watoto na watu wengine wasio na ulinzi;
10. Kwenda mazikoni mara kwa mara ata kwa mtu usiye mjua, we nenda tu kazike