Jipime mwanaJF,are you great thinker ?

Jipime mwanaJF,are you great thinker ?

Idd Ninga

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2012
Posts
5,497
Reaction score
4,775
Mimi ni mfanyabiashara wa vocha za simu.
nimeuza vocha toka hasubuhi mpaka jioni.
ilipofika jioni wakati nafunga duka,mteja akaja na kuniuliza "VOCHA SHILINGI NGAPI ?
mi nikamjibu bei ya vocha sijui ila tazama ktk kibubu cha hela hapo na hela utakayokuta ndio bei ya vocha.
jamaa akatazama na kutoa hela ya vocha na kuweka ktk chombo cha hela,nikampa vocha,akaondoka,wakati anaondoka, nikamuita na kumwambia "SAMAHANI MUHESHIMIWA UMESAHAU CHENJI"nikatoa mia mbili na kumpa kama chenji,akaondoka.
akaja mtu wa pili nae nikafanya vile vile kama mtu wa kwanza.
akaja mtu wa tatu,nako nikafanya vile vile kama mtu wa kwanza,na wa pili.
baada ya hapo wakati nafunga mahesabu nilitazama ktk kichombo cha hela na kukuta hakuna kitu.
JE MTU WA KWANZA ALIKUTA SHILINGI NGAPI,WA PILI ALIKUTA SHILINGI NGAPI NA WATATU ALIKUTA SHILINGI NGAPI ?
jipime,kuwa makini,rudia kusoma hadi uelewe.
 
Utakuwa ulihamisha pesa mahali pengine kabla hujafunga mahesabu may be mfukoni kwako maana huwezi kufanya biashara hadi jioni na ukose kabisa itakuwa ni


Biashara kichaa


Au


Chuma ulete
 
Hapana
hela ilikuwepo na chuma ulete hagusi kitu hapo.
 
Haya maswali nakumbuka tulikuwa tunayatunga na kuyajibu tukiwa darasa la nne mwanzoni mwa miaka ya tisini
 
Haya maswali nakumbuka tulikuwa tunayatunga na kuyajibu tukiwa darasa la nne mwanzoni mwa miaka ya tisini
sawa,mlikuwa mnafanya vyema sana,sa sijui kwanini mliacha ?
 
Back
Top Bottom