tryphone005
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 453
- 507
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh, wengine hiyo labina hatuijui em funguka vizuri ikiwezekana uweke na picha mkuu
Duh, limekaa pazuri sana. Hebu weka picha tukuonyeshe jinsi ya kulitumbua vizuri bila hata ya kupiga kelele.
Kwa hiyo mkuu hufanyi!!?
dah! eneo tata..Habari zenu wana jamvi.....Nimekua nikisumbuliwa na jipu kwenye Right Labia Minora ...Nimetumia Antibiotics lakini baada ya kupona nakaa muda Fulani linarudi tena mahali hapo hapo...Mara nyingi nakwenda kupasuliwa hospitalini lakini linarudi tena ......Msaada Wenu Tafadhali
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo!!!Linatafuta njia ya kwenda kwenye kisime!
Hebu tupe maelekezo ya ziada ili tukuondolee hilo balaa linalokusumbua
lipo hivi?
Mkuu paka mafuta ya taa! Litanywea lenyewe..!
Sent by Ubavu
Kisima aisee yani sisi wanaume tunapoteza sana hela kwenye uchotaji maji kutoka hapo kisimani..juzi tu nimeliwa 50 maji sijapata
Prof naomba tu hyo dawa maana nahangaika mnoKama matibabu ya hospital hayata kuponya nitafute pm kuna dawa ya asili ndakufanyia mpango iko vizuri sana.
-Ndumilakuwili-
Asante sanaMkuu siwezi kusema exactly tatizo Lakini nahisi Care na Usafi wa Jipu lako ndo utakuwa haupo sawa otherwise ungekua ushapona
1.Jisafishe Utakate
2.Hakikisha ni pakavu(kuepuka Bacteria)
3.Mavazi Pia unayovaa yasilichubue chubue
4.Mazoezi ya Nguvu sana na Ngono havitakiwi
Pole Sana [emoji1487]
ni ugonjwaHii video ya matusi
Ila wengine tukiona tunapata mfadhaikoni ugonjwa
Ukinywa dawa linapotea kwa muda gani?!..nani alikutumbua last time?!
Mh, wengine hiyo labina hatuijui em funguka vizuri ikiwezekana uweke na picha mkuu