sonnita
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,787
- 1,918
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh, wengine hiyo labina hatuijui em funguka vizuri ikiwezekana uweke na picha mkuu
Hapo atakua anabahatisha kutibu causative organism asiemjua its better akaenda hospitali kubwa wanayofanya culture and sensitivity akajua ni mdudu gani amesababisha hiyo hali na dawa zipi ni sensitive, intermediate or resistant against huyo organism alie sababisha hilo tatizoTumia Ceftriaxone, ni sindano ya antibiotic inayochomwa kwenye mishipa ya damu (mkononi) utachomwa sindano moja kwa siku kwa muda wa siku tano hilo tatizo lako litakwisha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, hapo sasa utembeaji si mgumu sana!!
utembeaji ndo nini na mimi nimeweka picha ya sweet cake?Duh, hapo sasa utembeaji si mgumu sana!!
Last time nilitumbuliwa hospital......nikachomwa na sindano 5 .......linapotea 3-4 months linaruduUkinywa dawa linapotea kwa muda gani?!..nani alikutumbua last time?!
Asante sana kwa ushauriHapo atakua anabahatisha kutibu causative organism asiemjua its better akaenda hospitali kubwa wanayofanya culture and sensitivity akajua ni mdudu gani amesababisha hiyo hali na dawa zipi ni sensitive, intermediate or resistant against huyo organism alie sababisha hilo tatizo
Kutumia hizi broadspectrum antibiotics including ceftriaxon uliyomshauri bila kucomfirm anatibu nn kitaalamu haishauruwi yaweza kua source ya kujitengenezea Multidrug resistance kwa some bacteria, ESBLs bacteria wanaweza emarge na kuwatibu ni more expensive na dawa zake za cabapemem group ni chache bongo na bei dose inaweza range hadi laki tano huko
Ushauri mzuri aende hospitali kubwa afanye vipimo sahihi ikiwemo culture ya sample from tht area or blood culture ikibidi..
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ukimwi tayariNenda kapime pia, magonjwa yote ikiwamo ukimwi!!
samahani, hivi labia minora ndio mashavu ya ndani au ya nje? tofauti yake na labia majora?Habari zenu wana jamvi nimekua nikisumbuliwa na jipu kwenye Right Labia Minora nimetumia Antibiotics lakini baada ya kupona nakaa muda fulani linarudi tena mahali hapo hapo mara nyingi nakwenda kupasuliwa hospitalini lakini linarudi tena msaada wenu tafadhali
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
hawatoi root ndo maanaLast time nilitumbuliwa hospital......nikachomwa na sindano 5 .......linapotea 3-4 months linarudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mwayaLast time nilitumbuliwa hospital......nikachomwa na sindano 5 .......linapotea 3-4 months linarudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kupuuza, ukimwi unakuja ktk form tofauti nao, sehemu zingine za mwili kama kinga imeshuka zinapata madhara ya mara kwa mara ikiwamo majipu, vipele etc!
Namaanisha kama hilo ndo eneo la jipu jinsi ya mwenye jipu kutembea kutoka point A mpaka B ni atatembea kwa shida!!utembeaji ndo nini na mimi nimeweka picha ya sweet cake?
Mmh boss ndio litokee hapo hapo jaman duh ......miezi kadhaaa ikipita lirudi hapo hapo hata halihami duuh sasa huo ukimwi itakua balaaaSio kupuuza, ukimwi unakuja ktk form tofauti nao, sehemu zingine za mwili kama kinga imeshuka zinapata madhara ya mara kwa mara ikiwamo majipu, vipele etc!
Sawa Asante kwa ushauriAcha matumizi ya soda kula vitunguu swaumu.
Ni balaa yaaan napembea nasimama sehemu moja mpaka nifike niendako masaa mawiliNamaanisha kama hilo ndo eneo la jipu jinsi ya mwenye jipu kutembea kutoka point A mpaka B ni atatembea kwa shida!!