Jipu kwenye labia minora

Jipu kwenye labia minora

Mh, wengine hiyo labina hatuijui em funguka vizuri ikiwezekana uweke na picha mkuu
IMG_5671.jpg
 
Tumia Ceftriaxone, ni sindano ya antibiotic inayochomwa kwenye mishipa ya damu (mkononi) utachomwa sindano moja kwa siku kwa muda wa siku tano hilo tatizo lako litakwisha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo atakua anabahatisha kutibu causative organism asiemjua its better akaenda hospitali kubwa wanayofanya culture and sensitivity akajua ni mdudu gani amesababisha hiyo hali na dawa zipi ni sensitive, intermediate or resistant against huyo organism alie sababisha hilo tatizo
Kutumia hizi broadspectrum antibiotics including ceftriaxon uliyomshauri bila kucomfirm anatibu nn kitaalamu haishauruwi yaweza kua source ya kujitengenezea Multidrug resistance kwa some bacteria, ESBLs bacteria wanaweza emarge na kuwatibu ni more expensive na dawa zake za cabapemem group ni chache bongo na bei dose inaweza range hadi laki tano huko

Ushauri mzuri aende hospitali kubwa afanye vipimo sahihi ikiwemo culture ya sample from tht area or blood culture ikibidi..

Thanks

Asante sana kwa ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana jamvi nimekua nikisumbuliwa na jipu kwenye Right Labia Minora nimetumia Antibiotics lakini baada ya kupona nakaa muda fulani linarudi tena mahali hapo hapo mara nyingi nakwenda kupasuliwa hospitalini lakini linarudi tena msaada wenu tafadhali

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
samahani, hivi labia minora ndio mashavu ya ndani au ya nje? tofauti yake na labia majora?

pole sana, umri wako? umeolewa, utakuwa unapata shida sana kwasababu jipu eneo hilo hata unyumba bwanako utakuwa humpi, pia linaleta impression mbaya, kupasuliwa eneo hilo tena, sura ya kitafunwa inabaki vilevile? ulishapima vvu? kwasababu majipu ni kuchafuka damu na mara nyingi hiyo huwa dalili mojawapo. kunywa maji mengi muda wote, fanya mazoezi, omba Mungu, maisha yetu yapo mikononi mwa Mungu, kubaliana na kila jambo ikiwa ni mapenzi ya Mungu.
 
Back
Top Bottom