Jipu kwenye labia minora

Jipu kwenye labia minora

Bartholin abscess ndo tatzo lako
SITz bath inasaidia kupunguza pain na kuondoa tatzo, pia incision and drainage kuondoa pus
 
Habari zenu wana jamvi.....Nimekua nikisumbuliwa na jipu kwenye Right Labia Minora ...Nimetumia Antibiotics lakini baada ya kupona nakaa muda Fulani linarudi tena mahali hapo hapo...Mara nyingi nakwenda kupasuliwa hospitalini lakini linarudi tena ......Msaada Wenu Tafadhali


Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
dah! eneo tata..
 
Mkuu paka mafuta ya taa! Litanywea lenyewe..!

Sent by Ubavu
 
Kama matibabu ya hospital hayata kuponya nitafute pm kuna dawa ya asili ndakufanyia mpango iko vizuri sana.

-Ndumilakuwili-
 
Mkuu siwezi kusema exactly tatizo Lakini nahisi Care na Usafi wa Jipu lako ndo utakuwa haupo sawa otherwise ungekua ushapona
1.Jisafishe Utakate
2.Hakikisha ni pakavu(kuepuka Bacteria)
3.Mavazi Pia unayovaa yasilichubue chubue
4.Mazoezi ya Nguvu sana na Ngono havitakiwi
Pole Sana [emoji1487]
 
Mkuu siwezi kusema exactly tatizo Lakini nahisi Care na Usafi wa Jipu lako ndo utakuwa haupo sawa otherwise ungekua ushapona
1.Jisafishe Utakate
2.Hakikisha ni pakavu(kuepuka Bacteria)
3.Mavazi Pia unayovaa yasilichubue chubue
4.Mazoezi ya Nguvu sana na Ngono havitakiwi
Pole Sana [emoji1487]
Asante sana
Nitafuata ushauri wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh, wengine hiyo labina hatuijui em funguka vizuri ikiwezekana uweke na picha mkuu
img_vaginoplasty0202.gif
 
Back
Top Bottom