Aurelia GM
Member
- Jul 25, 2017
- 62
- 24
- Thread starter
-
- #121
Nimekupata Boss.....mm cyo wa njia ile aseeee....mm wa njia ya MUNGU.......Asante kwa ushauri ubarikiwe sanaSawa mamaa pole sana nilikuwa nakukumbusha tu upande Wa pili
Wa dunia yetu.
Utapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi hauna nafasi boss....kama unaamini ni wewe....am God follower.....nitapona tu hzo mambo I don't believe
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh mawazo mgando boss .....acha hizo....Huenda umeshatembea na mume au bwana wa mtu kaamua kukufanya vibaya uchawi huo uko kwetu pwani na Tiba hauna labda urudi futi 6 ndio pumziko,ila kama ni mipango ya Mungu pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila vidudu vyetu huwa sifuri hii kuviangalia naogopalipo hivi?
Arafute dokta amkamue au nurseJipu huwa linakuwa na kitu kama Uzi,hatakama ikilitumbua hakikisha hicho kiuzi umekitoa;na kisipotoka jipu litakuwa linajirudiwa Mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri uende kwa specialist wa wanawake.Habari zenu wana jamvi nimekua nikisumbuliwa na jipu kwenye Right Labia Minora nimetumia Antibiotics lakini baada ya kupona nakaa muda fulani linarudi tena mahali hapo hapo mara nyingi nakwenda kupasuliwa hospitalini lakini linarudi tena msaada wenu tafadhali
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Na asiogope kuonesha
Pole sana[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Una hatari wewe..
Pitia DUTA ya gynecology, hapo tatzo ni bartholin abscess, mkuu aliesuggest iv cefriaxone yuko sahihi, kuna literature zipo zinaongelea SITZ bath katika kupunguza pain na uvimbe, stds bacteria kama chylamydia na neisseria G zinasababisha hyo kitu na E.coli strong drug like cefriaxone inatumika pia, over.Hapo atakua anabahatisha kutibu causative organism asiemjua its better akaenda hospitali kubwa wanayofanya culture and sensitivity akajua ni mdudu gani amesababisha hiyo hali na dawa zipi ni sensitive, intermediate or resistant against huyo organism alie sababisha hilo tatizo
Kutumia hizi broadspectrum antibiotics including ceftriaxon uliyomshauri bila kucomfirm anatibu nn kitaalamu haishauruwi yaweza kua source ya kujitengenezea Multidrug resistance kwa some bacteria, ESBLs bacteria wanaweza emarge na kuwatibu ni more expensive na dawa zake za cabapemem group ni chache bongo na bei dose inaweza range hadi laki tano huko
Ushauri mzuri aende hospitali kubwa afanye vipimo sahihi ikiwemo culture ya sample from tht area or blood culture ikibidi..
Thanks
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli anaweza kutumia broadspectrum kama ceftriaxone kwa kua ina cover all gram positive and gram negative bacteria lakini pia kuna a great emarging of drug resistance predominantly 3rd generation cefarosporins akiwemo E.coli thts why nilisuggest afanye culture kwenye hospital kubwa yenye good lab services.Pitia DUTA ya gynecology, hapo tatzo ni bartholin abscess, mkuu aliesuggest iv cefriaxone yuko sahihi, kuna literature zipo zinaongelea SITZ bath katika kupunguza pain na uvimbe, stds bacteria kama chylamydia na neisseria G zinasababisha hyo kitu na E.coli strong drug like cefriaxone inatumika pia, over.
Halafu kuna mtu anasema anapenda kisima chake duh