Jipu kwenye labia minora

Jipu kwenye labia minora

Pole dadangu...nakushauri nenda kwa vipimo zaidi hasa kwa madaktari bingwa Wa magonjwa ya wanawake na uzazi
Mungu atakusaidia utapona

germve himself
 
Habari zenu wana jamvi nimekua nikisumbuliwa na jipu kwenye Right Labia Minora nimetumia Antibiotics lakini baada ya kupona nakaa muda fulani linarudi tena mahali hapo hapo mara nyingi nakwenda kupasuliwa hospitalini lakini linarudi tena msaada wenu tafadhali


Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri uende kwa specialist wa wanawake.

Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo atakua anabahatisha kutibu causative organism asiemjua its better akaenda hospitali kubwa wanayofanya culture and sensitivity akajua ni mdudu gani amesababisha hiyo hali na dawa zipi ni sensitive, intermediate or resistant against huyo organism alie sababisha hilo tatizo
Kutumia hizi broadspectrum antibiotics including ceftriaxon uliyomshauri bila kucomfirm anatibu nn kitaalamu haishauruwi yaweza kua source ya kujitengenezea Multidrug resistance kwa some bacteria, ESBLs bacteria wanaweza emarge na kuwatibu ni more expensive na dawa zake za cabapemem group ni chache bongo na bei dose inaweza range hadi laki tano huko


Ushauri mzuri aende hospitali kubwa afanye vipimo sahihi ikiwemo culture ya sample from tht area or blood culture ikibidi..

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia DUTA ya gynecology, hapo tatzo ni bartholin abscess, mkuu aliesuggest iv cefriaxone yuko sahihi, kuna literature zipo zinaongelea SITZ bath katika kupunguza pain na uvimbe, stds bacteria kama chylamydia na neisseria G zinasababisha hyo kitu na E.coli strong drug like cefriaxone inatumika pia, over.
 
Pitia DUTA ya gynecology, hapo tatzo ni bartholin abscess, mkuu aliesuggest iv cefriaxone yuko sahihi, kuna literature zipo zinaongelea SITZ bath katika kupunguza pain na uvimbe, stds bacteria kama chylamydia na neisseria G zinasababisha hyo kitu na E.coli strong drug like cefriaxone inatumika pia, over.
Ni kweli anaweza kutumia broadspectrum kama ceftriaxone kwa kua ina cover all gram positive and gram negative bacteria lakini pia kuna a great emarging of drug resistance predominantly 3rd generation cefarosporins akiwemo E.coli thts why nilisuggest afanye culture kwenye hospital kubwa yenye good lab services.
Na ni tatizo linalozidi kukua sehemu nyingi including Tz watu wanajimezea antibiotics kimazoea bila kufanya testing za labs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom