Aurelia GM
Member
- Jul 25, 2017
- 62
- 24
- Thread starter
-
- #161
Asante sana mkuuUkiosha uke kwa sababuni unaharibu mazingira (ecosystem) ya ukeni ambayo yanalinda ngozi ya huko dhidi ya michubuko, bacteria wabaya na fungus (candida). Michubuko yoyote ya huko na upungufu mkubwa wa bacteria enyeji na rafiki (normal flora) wa ukeni utapelekea kupunguza kinga ya ukeni dhidi ya kupata fangasi na kuota majipu
Ni jambo jema
Hii hatari sanaHalafu kuna mtu anasema anapenda kisima chake duh
Wanaume kazi tunayo si kwa sura hiyo asee,imagine ingewekwa kwenye paji la uso
Cha msingi aende hospitali nziri akachukue na vipimo pia!Mmh boss ndio litokee hapo hapo jaman duh ......miezi kadhaaa ikipita lirudi hapo hapo hata halihami duuh sasa huo ukimwi itakua balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kofuli unatumia kwelii ?Yaaaan cyo kijipu ni mjipu mkubwa wa maana .....cwez hata kutembea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wewe kwenye hiyo picha umeona nini? mi naona sweet cake.Dah kwel nimeamin dunian maradhi nimengi sana sasa ona hiyo picha ilivyo jaman
ubarikiwe, waambie na wenzako juu ya hilo kuwa kila kiungo (ngozi, uke, mkun..du, pua, masikio, mdomo, nywele, kwapa, n.k) mwilini kina sura, umbo, kazi na harufu yake ya kipekee ambayo lazima watu wote wakubali, waamini na waheshimu maumbile hayo ili kudumisha afya ya kiungo husika. Watu wasitamani kugeuza sura, umbo, kazi na harufu za viungo hivyo kwa gharama yoyote ili litumike kwa kazi nyingine kama kulamba, kunyonya, kufira, kuondoa uteute na utelezi wa asili na mambo mengi yasiyokusudiwa kufanywa na kiungo hicho. Kufanya hivyo kunahatarisha afya ya viungo hivyo kwa starehe ya muda tu.Asante sana mkuu
Nilikua naoshea na sabuni
Nimeacha
Asante kwa ushauri mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hivi ndivyo tunavyowatambua wapumbavu/malofa na werevu..Mlishazoea kauli za kubembelezana mtapata shida sana kipindi hiki.
Najua hilo lakin pia mimi nnavyofahamu mwanaume na mwanamke wote wanashiriki kile kitendo. Sasa ukisema mwanamke anafanywa unakuwa unamaanisha mwanamke yeye anakuwa yupo yupo tu ila mwanaume ndo anashughurika kitu ambacho sometimes haiwi hivyo. Kwa hiyo wote mwanaume na mwanamke wote wanafanya
Hujawahi sikia kuoana!!?Mkuu kuna kuoa na kuolewa, kwa maelezo hayo yako unataka kusema mwanamke naye anaoa kwakuwa naye ni mshiriki ktk hiyo harusi yao??
Ktk tendo la ndoa kuna Mtenda na Mtendwa! Hakuna dhana ya kutendeana...
Na hivi ndivyo tunavyowatambua wapumbavu/malofa na werevu..
Maana werevu wao hutafakari kwa vichwa vyao, ila wapumbavu hudhani kila litamkwalo na vipenzi vyao ni sahihi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana Kavulataubarikiwe, waambie na wenzako juu ya hilo kuwa kila kiungo (ngozi, uke, mkun..du, pua, masikio, mdomo, nywele, kwapa, n.k) mwilini kina sura, umbo, kazi na harufu yake ya kipekee ambayo lazima watu wote wakubali, waamini na waheshimu maumbile hayo ili kudumisha afya ya kiungo husika. Watu wasitamani kugeuza sura, umbo, kazi na harufu za viungo hivyo kwa gharama yoyote ili litumike kwa kazi nyingine kama kulamba, kunyonya, ku****, kuondoa uteute na utelezi wa asili na mambo mengi yasiyokusudiwa kufanywa na kiungo hicho. Kufanya hivyo kunahatarisha afya ya viungo hivyo kwa starehe ya muda tu.
NENDA HAPO DODOMA CENTRAL HOSPITAL KWA DR MASIMBA ATAKUSHAURI VIZURI SIO TATIZO KUBWA KIHIVYO.
Dada Natasha nashukuru sana kwa ushauri....naweza kupata contacts za Doctor maana Leo maumivu ni Mara dufu....0712820772NENDA HAPO DODOMA CENTRAL HOSPITAL KWA DR MASIMBA ATAKUSHAURI VIZURI SIO TATIZO KUBWA KIHIVYO.
bado hujafanyiwa operesheni?Dada Natasha nashukuru sana kwa ushauri....naweza kupata contacts za Doctor maana Leo maumivu ni Mara dufu....0712820772
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hospital ni Dr yeyote mwenye uelewe wa hiyo procedure its simple and an outpatient if your in Daslam find me
Op ya get me right outpatient meaning at hospital but you come its done and you go not at home or else thinkingSio hospital ni Dr yeyote mwenye uelewe wa hiyo procedure its simple and an outpatient if your in Daslam find me
Dr