Jipu kwenye labia minora

Jipu kwenye labia minora

Ukiosha uke kwa sababuni unaharibu mazingira (ecosystem) ya ukeni ambayo yanalinda ngozi ya huko dhidi ya michubuko, bacteria wabaya na fungus (candida). Michubuko yoyote ya huko na upungufu mkubwa wa bacteria enyeji na rafiki (normal flora) wa ukeni utapelekea kupunguza kinga ya ukeni dhidi ya kupata fangasi na kuota majipu
Asante sana mkuu
Nilikua naoshea na sabuni
Nimeacha
Asante kwa ushauri mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana mkuu
Nilikua naoshea na sabuni
Nimeacha
Asante kwa ushauri mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
ubarikiwe, waambie na wenzako juu ya hilo kuwa kila kiungo (ngozi, uke, mkun..du, pua, masikio, mdomo, nywele, kwapa, n.k) mwilini kina sura, umbo, kazi na harufu yake ya kipekee ambayo lazima watu wote wakubali, waamini na waheshimu maumbile hayo ili kudumisha afya ya kiungo husika. Watu wasitamani kugeuza sura, umbo, kazi na harufu za viungo hivyo kwa gharama yoyote ili litumike kwa kazi nyingine kama kulamba, kunyonya, kufira, kuondoa uteute na utelezi wa asili na mambo mengi yasiyokusudiwa kufanywa na kiungo hicho. Kufanya hivyo kunahatarisha afya ya viungo hivyo kwa starehe ya muda tu.
 
Mkuu kuna kuoa na kuolewa, kwa maelezo hayo yako unataka kusema mwanamke naye anaoa kwakuwa naye ni mshiriki ktk hiyo harusi yao??
Ktk tendo la ndoa kuna Mtenda na Mtendwa! Hakuna dhana ya kutendeana...

Mlishazoea kauli za kubembelezana mtapata shida sana kipindi hiki.
Na hivi ndivyo tunavyowatambua wapumbavu/malofa na werevu..

Maana werevu wao hutafakari kwa vichwa vyao, ila wapumbavu hudhani kila litamkwalo na vipenzi vyao ni sahihi..
Najua hilo lakin pia mimi nnavyofahamu mwanaume na mwanamke wote wanashiriki kile kitendo. Sasa ukisema mwanamke anafanywa unakuwa unamaanisha mwanamke yeye anakuwa yupo yupo tu ila mwanaume ndo anashughurika kitu ambacho sometimes haiwi hivyo. Kwa hiyo wote mwanaume na mwanamke wote wanafanya


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna kuoa na kuolewa, kwa maelezo hayo yako unataka kusema mwanamke naye anaoa kwakuwa naye ni mshiriki ktk hiyo harusi yao??
Ktk tendo la ndoa kuna Mtenda na Mtendwa! Hakuna dhana ya kutendeana...


Na hivi ndivyo tunavyowatambua wapumbavu/malofa na werevu..

Maana werevu wao hutafakari kwa vichwa vyao, ila wapumbavu hudhani kila litamkwalo na vipenzi vyao ni sahihi..



Sent using Jamii Forums mobile app
Hujawahi sikia kuoana!!?
 
ubarikiwe, waambie na wenzako juu ya hilo kuwa kila kiungo (ngozi, uke, mkun..du, pua, masikio, mdomo, nywele, kwapa, n.k) mwilini kina sura, umbo, kazi na harufu yake ya kipekee ambayo lazima watu wote wakubali, waamini na waheshimu maumbile hayo ili kudumisha afya ya kiungo husika. Watu wasitamani kugeuza sura, umbo, kazi na harufu za viungo hivyo kwa gharama yoyote ili litumike kwa kazi nyingine kama kulamba, kunyonya, ku****, kuondoa uteute na utelezi wa asili na mambo mengi yasiyokusudiwa kufanywa na kiungo hicho. Kufanya hivyo kunahatarisha afya ya viungo hivyo kwa starehe ya muda tu.
Asante sana Kavulata
Ubarikiwe mno
Nitakua kiongozi bora katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio hospital ni Dr yeyote mwenye uelewe wa hiyo procedure its simple and an outpatient if your in Daslam find me

Dr
Op ya get me right outpatient meaning at hospital but you come its done and you go not at home or else thinking

Dr
 
Back
Top Bottom