Aurelia GM
Member
- Jul 25, 2017
- 62
- 24
- Thread starter
- #161
Asante sana mkuuUkiosha uke kwa sababuni unaharibu mazingira (ecosystem) ya ukeni ambayo yanalinda ngozi ya huko dhidi ya michubuko, bacteria wabaya na fungus (candida). Michubuko yoyote ya huko na upungufu mkubwa wa bacteria enyeji na rafiki (normal flora) wa ukeni utapelekea kupunguza kinga ya ukeni dhidi ya kupata fangasi na kuota majipu
Nilikua naoshea na sabuni
Nimeacha
Asante kwa ushauri mwema
Sent using Jamii Forums mobile app