AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 677
shavu la ndani la uke la upande wakuliaMh, wengine hiyo labina hatuijui em funguka vizuri ikiwezekana uweke na picha mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shavu la ndani la uke la upande wakuliaMh, wengine hiyo labina hatuijui em funguka vizuri ikiwezekana uweke na picha mkuu
Damu huchafuliwa na nini ?samahani, hivi labia minora ndio mashavu ya ndani au ya nje? tofauti yake na labia majora?
pole sana, umri wako? umeolewa, utakuwa unapata shida sana kwasababu jipu eneo hilo hata unyumba bwanako utakuwa humpi, pia linaleta impression mbaya, kupasuliwa eneo hilo tena, sura ya kitafunwa inabaki vilevile? ulishapima vvu? kwasababu majipu ni kuchafuka damu na mara nyingi hiyo huwa dalili mojawapo. kunywa maji mengi muda wote, fanya mazoezi, omba Mungu, maisha yetu yapo mikononi mwa Mungu, kubaliana na kila jambo ikiwa ni mapenzi ya Mungu.
Umenisimamishia rungu we demuduuh pole navopenda kisimi changu ningeandamana yaani
Hakika limekaa pabayaLabia minora ni mashavu ya uchi wa mwanamke. Sasa inapotokea kukawa na jipu kwenye shavu la ukenini, sidhani kama tendo la ndoa linaweza kuwepo. Mwenye bandiko lake anaposema amekuwa akisumbuliwa na jipo kwenye Labia Minora ina maana yeye ndiye anayefanywa tendo la ndoa.
Mkuu nenda General (Hospital ya Mkoa Wa Dodoma) au nenda Mvumi Mission
Umerogwa ulitembea Na Mme Wa mtuLast time nilitumbuliwa hospital......nikachomwa na sindano 5 .......linapotea 3-4 months linarudu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kwel nimeamin dunian maradhi nimengi sana sasa ona hiyo picha ilivyo jaman
Huenda umeshatembea na mume au bwana wa mtu kaamua kukufanya vibaya uchawi huo uko kwetu pwani na Tiba hauna labda urudi futi 6 ndio pumziko,ila kama ni mipango ya Mungu pole sana.Habari zenu wana jamvi nimekua nikisumbuliwa na jipu kwenye Right Labia Minora nimetumia Antibiotics lakini baada ya kupona nakaa muda fulani linarudi tena mahali hapo hapo mara nyingi nakwenda kupasuliwa hospitalini lakini linarudi tena msaada wenu tafadhali
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unaota mchanaMkuu ukishapona jipu lako nitafute nikupe noti yako ya Dolar mia uliyopoteza kipind kile,niliiona na kuiokota then nikakutunzia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nitaonaje boss?Jipu huwa linakuwa na kitu kama Uzi,hatakama ikilitumbua hakikisha hicho kiuzi umekitoa;na kisipotoka jipu litakuwa linajirudiwa Mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi hauna nafasi boss....kama unaamini ni wewe....am God follower.....nitapona tu hzo mambo I don't believeHuenda umeshatembea na mume au bwana wa mtu kaamua kukufanya vibaya uchawi huo uko kwetu pwani na Tiba hauna labda urudi futi 6 ndio pumziko,ila kama ni mipango ya Mungu pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha Imani potofu boss wangu......Mtazame Anaekupa pumzi na uhai ukaweza kunijibu hivyoHuenda umeshatembea na mume au bwana wa mtu kaamua kukufanya vibaya uchawi huo uko kwetu pwani na Tiba hauna labda urudi futi 6 ndio pumziko,ila kama ni mipango ya Mungu pole sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mamaa pole sana nilikuwa nakukumbusha tu upande Wa pili