Jirani ananikonyeza na kanga moko: Nifanyeje?

Kizuri tushawaeleza watu wa aina yako kwamba fanya makosa yote lakini sio kumla mke wa mtu ,,,,,,,,coconut oil ni buku 2 tu mkuu so uchague wewe
Mkuu ni ana hatari sana huyu jirani.. 😔
 
Duh aisee..
 
Moja ya njia ya mwanaume kulinda uwanaume wake ni kuwa mbali na wake za watu .

Fanya ufanyalo ushinde hilo jaribu asije jamaa akatafuta watu wakupige paipu ( pipe).
 
Sawa mkuu nitajitahidi na kukwepa hii kadhia mkuu. Shindwa pepo katika jina la yesu
 
Wazoefu tunajua na huu uzi ni wazo limemjia akilini tu, wala hakuna tukio kama hilo.

Kifupi dogo ameshatoka kama Bwana Misosi lakini inatakiwa ajue namna ya kuishi kwa staha na adabu 🤣
 
Akilini sio?
Tena wewe sina haja ya kukupa evidence kwa maana huwa umejiwekea mindset uchwara kunihusu
 
Wazoefu tunajua na huu uzi ni wazo limemjia akilini tu, wala hakuna tukio kama hilo.

Kifupi dogo ameshatoka kama Bwana Misosi lakini inatakiwa ajue namna ya kuishi kwa staha na adabu 🤣
Una maanisha kua dogo ameamua kujilisha upepo sio?
 
Kuwa shoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…