Kwanini mkuu kipi kimekusibu juu ya wanawakeNi vile tu shetani, anaingilia kati.
Ukizingatia kwa sasa sitaki kabisa kuwa engaged na wanawake. Am working on me
Katiba imeanza kutafuta toka enzi za jakaya miaka 20 iliyo pita.. Nini kikufanye kufikiri utapata sasa? Acha kujidanganya uko bize mwanakayumbaBado hujakua , ukikua utaancha kutufungulia uzi kama huu wa *******, wakati sisi tuna mjadala mzito wa katiba mpya. Kakojoe ulale.
sio yang nimetoa kwenye bibliaHii mindset sio nzuri
Ni kweli lakini hisia na tamaa zinataka ku take advantage of meKama uko serious kimsingi una matatizo nilishakwambia tangu siku ile ujisifu umefanya mapenzi na dada tena uliyejinasibu wa rafiki yako (msaliti mkubwa wewe) leo narudia tena kwamba macho yanaweza kuona uzuri, lakini mwanaume mwenye akili anajua mipaka.
Inunue kanga yake hiyo hata kama kwa gharama halafu uone kama anaendelea.Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu..
Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko..
Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi kabisa..
Jamani hizi ni dharau na dhahiri ananitafuta kusudi kabisa..
Ana wezele zuri sawa, ila she's someone's wife... Ndugu zangu hali hii ikiendelea najiona kabisa nikianguka dhambini.
Je, nifanye njia gani kuukwepa huu mshale wa moto ambao shetani a najaribu kunirushia?
Ona sasa, niko kazini na akili yangu imejigota kwa tako la jirani..!
This is insane guys, na ni kwanini unapo fika a point of no return mambo ndio huwa yanakuwa magumu kiasi hiki..
Je, nikamgombeze na kumfanya aache tabia hiyo mara moja... Au nifanye nini ili mazoea haya mabaya yaweze kukoma?
Shtuka Bro.El Nino inakaribia kuanza,bidhaa kama unga,mchele,sukari na Mafuta zitakuwa adimu na bei itakuwa juu sana,sasa we endelea kumuwaza jirani,yeye yupo kwenye maandalizi anatafuta uhakika wa ku survive katika kipindi hicho.KimbiiaaaaaaNdugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu..
Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko..
Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi kabisa..
Jamani hizi ni dharau na dhahiri ananitafuta kusudi kabisa..
Ana wezele zuri sawa, ila she's someone's wife... Ndugu zangu hali hii ikiendelea najiona kabisa nikianguka dhambini.
Je, nifanye njia gani kuukwepa huu mshale wa moto ambao shetani a najaribu kunirushia?
Ona sasa, niko kazini na akili yangu imejigota kwa tako la jirani..!
This is insane guys, na ni kwanini unapo fika a point of no return mambo ndio huwa yanakuwa magumu kiasi hiki..
Je, nikamgombeze na kumfanya aache tabia hiyo mara moja... Au nifanye nini ili mazoea haya mabaya yaweze kukoma?
Kwamba yuko kazini? 😂Shtuka Bro.El Nino inakaribia kuanza,bidhaa kama unga,mchele,sukari na Mafuta zitakuwa adimu na bei itakuwa juu sana,sasa we endelea kumuwaza jirani,yeye yupo kwenye maandalizi anatafuta uhakika wa ku survive katika kipindi hicho.Kimbiiaaaaaa
Umeongea kweli kabisaHuyo mtombe tu kwasababu mume wake naye hana akili, unamruhusu mkeo atoke nje na kanga moja na unajua nje kuna wanaume wanadindisha kama wewe.
Wake za watu ambao hawajiheshimu waliwe sana tu, kwasababu ni matokeo ya uzembe wa waume zao.
Mwanamke anatoka ndani kavaa kihasara hasara anatamanisha, wewe mume unamchekea tu, mwanamke wako akiwa nje anacheka cheka na wanaume wewe mume unamuangalia tu.
Kwamba yuko
Nakuambia tena shtuka, na ana Marejesho kibaooo we leta za Sharukhan uone kama hujayalipa wewe.Kwamba yuko kazini? 😂