Jirani ananikonyeza na kanga moko: Nifanyeje?

Bado hujakua , ukikua utaancha kutufungulia uzi kama huu wa *******, wakati sisi tuna mjadala mzito wa katiba mpya. Kakojoe ulale.
 
Bado hujakua , ukikua utaancha kutufungulia uzi kama huu wa *******, wakati sisi tuna mjadala mzito wa katiba mpya. Kakojoe ulale.
Katiba imeanza kutafuta toka enzi za jakaya miaka 20 iliyo pita.. Nini kikufanye kufikiri utapata sasa? Acha kujidanganya uko bize mwanakayumba
 
Kama uko serious kimsingi una matatizo nilishakwambia tangu siku ile ujisifu umefanya mapenzi na dada tena uliyejinasibu wa rafiki yako (msaliti mkubwa wewe) leo narudia tena kwamba macho yanaweza kuona uzuri, lakini mwanaume mwenye akili anajua mipaka.
 
Ni kweli lakini hisia na tamaa zinataka ku take advantage of me
 
Inunue kanga yake hiyo hata kama kwa gharama halafu uone kama anaendelea.
 
Shtuka Bro.El Nino inakaribia kuanza,bidhaa kama unga,mchele,sukari na Mafuta zitakuwa adimu na bei itakuwa juu sana,sasa we endelea kumuwaza jirani,yeye yupo kwenye maandalizi anatafuta uhakika wa ku survive katika kipindi hicho.Kimbiiaaaaaa
 
Yan jirani kakuta umevaa kanga moko (ndani hamna kitu) afu kakukonyeza, Bado huelewi anakuita gheto kwake?
 
Shtuka Bro.El Nino inakaribia kuanza,bidhaa kama unga,mchele,sukari na Mafuta zitakuwa adimu na bei itakuwa juu sana,sasa we endelea kumuwaza jirani,yeye yupo kwenye maandalizi anatafuta uhakika wa ku survive katika kipindi hicho.Kimbiiaaaaaa
Kwamba yuko kazini? πŸ˜‚
 
Huyo mtombe tu kwasababu mume wake naye hana akili, unamruhusu mkeo atoke nje na kanga moja na unajua nje kuna wanaume wanadindisha kama wewe.
Wake za watu ambao hawajiheshimu waliwe sana tu, kwasababu ni matokeo ya uzembe wa waume zao.
Mwanamke anatoka ndani kavaa kihasara hasara anatamanisha, wewe mume unamchekea tu, mwanamke wako akiwa nje anacheka cheka na wanaume wewe mume unamuangalia tu.
 
Umeongea kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…