Jirani anaweza kukufanya uchukie nyumba yako


Hivi ni vituko uswahilini, eh bwana wee (kiitikio). Uswahilini kuna vituko!
By Suma Lee
 

Kuna wenzao wa masjid. Walikuwa wakipiga ile swalaa swalaa. Kama fk 40 hivi, kuanzia saa 11 dot mpaka 12 kasoro. Nikaona isiwe shida. Nikauza ile nyumba iliyoko Mfaranyaki. Nikaona isiwe tabu.
Sikuwqpeleka popote kama wewe unavyopanga kufanya. Nikaogopa wasije wakaniloga bure na takibili yao. Maana nasikia somo la kuloga watu wanalipenda sana. Siju hiyo hawakosi masjid
😛
 
Maisha ya uswahilini na changamoto zake haya matatizo uwezi ya sikia masaki

Lkn wenyewe wanafurahia maisha yao. Unakuta jirani kapika ugali, jirani mwingine kapika mboga. Wanakutana nje kila mtu na chakula chake, wanakula pamoja. Mambo yanakuwa shwaari
 

Kwa akina meku ni kawaida sana. Kukuibia mpaka.
 
Naona mnawasahau walokole wa kugeuza nyumba kuwa kanisa,...waumini watatu,.spika zakutosha,...🙄🙄🤔🤒🤒
 
Mifugo inafaa kuwekwa nje ya makazi,shida ni ujuaji wa miji, unakuta umeanzisha eneo,baada ya muda eneo Hilo linajaa na Wewe ndio hapo pakufugia.
 
Ukienda kujenga lazima ufanye uchunguzi kama msikiti au kanisa lipo sehem gani,mfugaji wa kama yupo karibu yani inshort zunguma mit 200 tokea apo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…