ukerewekwetu
Senior Member
- Sep 17, 2023
- 102
- 245
- Thread starter
-
- #21
Ndio hawana hata website wala namba ya simu nimesearch hapa. Taarifa za juu nimeona anwani kwenye chupa yao wapo ArushaHao ndio wanauwa figo zetu.....
Ww nande kwa watu wa Kvant og mripoti
Mind your businessNi nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Hao wapuuzi wanaharibu sana bidhaa za watu kwani wanaingiza pombe feki mtaani na matokeo yake zinaua figo za wanywaji.Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant.
Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora sahihi.
Nipo Kigamboni.
Mchongo juu ya mchongo....feki juu ya fekiTafuta askari wa mchongo wavamie hapo upige pesa.
Hyo fursa mkuu.
Ndio maana nami ningependa kuwapa taarifa wenye kiwanda moja kwa moja na sio kwa Mjumbe sijui Polisi NO. Kuwapa taarifa hao hawakawii kunichoma kwa hawa wahuni kwamba tumeambiwa na jirani yako UKEREWEKWETU kwamba unazalisha vinywaji feki,mwisho wa siku nikajihatarishia maisha yanguHao wapuuzi wanaharibu sana bidhaa za watu kwani wanaingiza pombe feki mtaani na matokeo yake zinaua figo za wanywaji.
Naomba umchunguze vizuri inawezekana anatengeneza vinywaji vya aina nyingi ikiwepo SmartGin maarufu kisungura .
Ukigundua anatengeneza na Smart Gin please usisite kuwasiliana na uongozi
Pesa hyo,,aiseeMchongo juu ya mchongo....feki juu ya feki