Jirani kalisahau wowowo lake nje

Jirani kalisahau wowowo lake nje

Hahahaaa. Mpe pole Mkeo jamaani ila ndio ukamwambie kwamba huyo dada hana lolote zaidi ya kujaladia hivyo apunguze presha.

Ila wanaume nyie hapana kwa kweli lol. Nimekaa najiwazia sidhani kama akitembea linatikisika hilo dude ila ndio wenyewe mnavunjaa shingo zenu hatari.
Ama kweli kila king'aacho si dhahabu, yaani siku zote shingo zetu zinaumia kumbe ni kitu cha mchina! Wanawake nyie Mungu Anawaona mjue😱😵🙁
 
Ama kweli kila king'aacho si dhahabu, yaani siku zote shingo zetu zinaumia kumbe ni kitu cha mchina! Wanawake nyie Mungu Anawaona mjue😱😵🙁
Hahahaaa. Poleeni.

Si wanafuata upepo unapovuma. Kama umevumia kwenye mizigo wafanyeje. Acheni tu muumie kwa kweli.
 
Back
Top Bottom