Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Siku akiacha kulivaa utadhani labda vyuma vimembana kumbe mchina ameexpire[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeonaeeee. Na Hazard angelainika.
[emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku akiacha kulivaa utadhani labda vyuma vimembana kumbe mchina ameexpire[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeonaeeee. Na Hazard angelainika.
[emoji23] [emoji23]
kila kitu kina copy yake...ila vitambi bado havijapata solution, ile mikanda sio[emoji23]Khaaaaaa mpk vya miguu????
Hahahahaha tutapata tabu sanakila kitu kina copy yake...ila vitambi bado havijapata solution, ile mikanda sio[emoji23]
Kabisa![emoji23] [emoji23] [emoji23] hivyo kama wanavaa vigodoro wavae tu hakuna shida. Si eti eee?
Sababu ni fahari ya macho ile.
Bumunda liwe bumunda kweliHahaha usifike mbali tu ukanunue na zile chupi za kuvimba mbele jiran..utatumaliza kabisaa
Hakika mkuu..ngoja niyaandike haya maneno ya busara kwenye notebookMkuu,kesho akitoka mwambie "Mungu humpa kila mja wake mifupa na damu lkn ta-core huwa ni upendeleo...umeutumikisha moyo wangu kwa miaka mitatu bila pension"
Sasa na waza kwa sie wa maji ya kunde au ndio vipo vya kila rangi.Hahahahahahaha itakua anabandika na gundi ......ndo maana tunakufa na kansa
Godoro na org vinajulikana mbonaHahahaaa. Ila mwisho wa siku ndio mnadondokea kwa hao wanaovaa magodoro best.
Vipi mtindi...hauna tiba?maana nao pia ni ugonjwa wanguUsijali ugonjwa wako umekwishapata tiba,kazi kwako tu lol!
Itakua vipo vya kila rangi hahahahahSasa na waza kwa sie wa maji ya kunde au ndio vipo vya kila rangi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lolMimi nishahamia kwenye vitumbo vidogo [emoji39] [emoji39]
Awe na wowowo asiwe nalo mimi naangalia tumbo tu.... Akiwa na tumbo kubwa namwachia Hazard cfc
Hahaaa. Na kweli mdogo wangu.Siku akiacha kulivaa utadhani labda vyuma vimembana kumbe mchina ameexpire[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnamabalaa nyie...bumunda linaumuka haswaBumunda liwe bumunda kweli
Shem mamboHahahahaha
Haswaaaaaa aiseeeeh ni balaaaMnamabalaa nyie...bumunda linaumuka haswa
Nimeona Hazard kasema godoro pia huwa linatikisika etiii.Godoro na org vinajulikana mbona
Hahaha. Na kweli mwaya.Itakua vipo vya kila rangi hahahahah
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]aibu nimeona mimi
Ndio hivyo mdogo wangu mdada kasahau mali yake nje.Hahahahaha