Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kweli aiseeee. Haya zoza vizuri na Hazard akutafutie hicho chumba.Huo ndo ubest sasa best
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aiseeee. Haya zoza vizuri na Hazard akutafutie hicho chumba.Huo ndo ubest sasa best
Hapana babu ni salamu tuHahah unataka kuninyima nin mjukuu hadi utoe salamu kwa herufi kubwa hvyo??[emoji23]
Hahahaaa. Ila mwisho wa siku ndio mnadondokea kwa hao wanaovaa magodoro best.Wanasema raha jipe mwenyewe
ndio maana wkend anapenda kunidanganya na movies mpya ili nisibariz nje[emoji23] [emoji23]Hahahaaa. Kama ni hivyo wacha mkeo apandwe na presha. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Khaaaaaa mpk vya miguu????Yaani kokote mtakako hamia na sisi tumo,tutaenda sambamba tu hakuna namna[emoji23][emoji23]View attachment 817683
Tunageuzaga mbona? Mfano mimi wowowo napenda kuangalia mtikisiko wake tu ila chakula nnachopenda ni flat.Hahahaaa. Lol. Hata ukisononeka haisaidii lakini.
Ila wanaume mugeuzage shingo hadi kwa wale wenye flat bana ili wasishawishike kuvaa hiyo mikitu.
HakikaaNguo huficha mengi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] anajua Mume wake ugonjwa wako ulipo .ndio maana wkend anapenda kunidanganya na movies mpya ili nisibariz nje[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23]acha tu mchina ni konyoo.Khaaaaaa mpk vya miguu????
Hadii miguu..daaaa halafu ndio ugonjwa wangu huo daaaaaahYaani kokote mtakako hamia na sisi tumo,tutaenda sambamba tu hakuna namna[emoji23][emoji23]View attachment 817683
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivyo kama wanavaa vigodoro wavae tu hakuna shida. Si eti eee?Tunageuzaga mbona? Mfano mimi wowowo napenda kuangalia mtikisiko wake tu ila chakula nnachopenda ni flat.
Aiseeeeeeee dunia kweli tambala bovu[emoji23][emoji23]acha tu mchina ni konyoo.
Kwanini uwe na miguu ya kuku?
Nimechoka shoo sasa hapo nawaza anavaa soksi kwa juu ama?Khaaaaaa mpk vya miguu????
aaaah [emoji23] [emoji23] basi nikadhani huo mchongoko nitausikia tuHapana babu ni salamu tu
Usijali ugonjwa wako umekwishapata tiba,kazi kwako tu lol!Hadii miguu..daaaa halafu ndio ugonjwa wangu huo daaaaaah
Mimi nishahamia kwenye vitumbo vidogo [emoji39] [emoji39]Naona sasa ifike mwisho..sijui tuhamie kiungo gani
Hahahahahahaha itakua anabandika na gundi ......ndo maana tunakufa na kansaNimechoka shoo sasa hapo nawaza anavaa soksi ama?
Hihihihihihihiaaaah [emoji23] [emoji23] basi nikadhani huo mchongoko nitausikia tu