Jirani kalisahau wowowo lake nje

Jirani kalisahau wowowo lake nje

Hahaaa. Umewaza mbali Mkuu ila itakuwa ana ujanja ujanja wa kufanya mwanaume asilijue hilo.

Japo nimejikuta namuhurumia kwa kweli.
Atakuwa ni mmoja ya wale wanaosemaga "zima taa honey" [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanaume ukitoka hapo unajisifia kwa masela kumbe umekula godoro
 
Dada huyu anaependelea kutumia formation ya viungo watatu katikati( verasidika,aggy masogange na sanchoka) 4-3-3 kawanyima sana usingizi ma bazazi,mafisi na wake zetu hapa mtaani...akipita lazima ugeuke hata kwa kuiba iba,leo nimeamka nimekutana na wowowo lake kwenye kamba nikabaki nikisema aiseee kumbe kuvunjika kote shingo kwa miaka 3 ni kazi bure
View attachment 817617
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Tatizo siku hizi simu za kisasa zimetufanya tuwe wepesi kuchukua picha au clip ya tukio kuliko kulihoji kwa undani zaidi tukio husika.

Hapo angemuweza sana na angeona aibu sana.

Ila nampongeza Hazard cfc kutomuuliza maana pangenuka hapo mtaani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeonaeee. Yaani mbio Hazard kaja kutuhoji wana jf wakati anaewaumiza shingo anaye huko Mtaani.

Ila mdogo wangu kuna vidada havina aibu hata kidogo huenda kangejichekesha, basi na hapo Hazard angelainika na asingeendelea nayo tena.
 
Back
Top Bottom