Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alijisahau tu kwasababu nilivyotoka tena nje sikulikuta..Hahahaaa. Itakuwa kachoka kulianika ndani anaogopa magonjwa.
Ila kwa mbaali nawaza siku zote za mwizi ni 40 hivyo huenda ikawa ndio zimefika.
Ahurumie shingo za watu huyo mdada.Ndio ili akalivae na kwenda kuumiza tena shingo za kina Hazard. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuh! Kumbe alistahmili sana kulianika ndani aiseee.Mzee goma kwa miaka mitatu anatuumiza nalo tu
Hahahaaa. Ila na wewe umo banaa hivyo ikaifuatilia movie mpaka mwisho lol.alijisahau tu kwasababu nilivyotoka tena nje sikulikuta..
Noma sana! Hivi nikimuomba akanikubalia ataenda home kulivua kwanza ndio aje?Umenipa akili..hapa nitamlia taming niliibe[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila lazima anakua na backup mkuu
Hahahaaa. Mjini Mipango mdogo wangu na hasa baada ya kujua kwamba Mtaa mzima wa kina Hazard wanaume wanahusudu Mizigo basi dada wa watu akajua kujiongeza. Hahahaaaaa.Ahurumie shingo za watu huyo mdada.
Halafu hunenda na pair kadhaa ndio maana hii pair kaifua nyingine anaendelea kukata mitaa kama kawaida yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu zina raha yake hizoMkuu hazikwepeki hizo
I wish nihamie hapo anapoishi maanaIla Best huyo mdada kajua kuwaweza kina Hazard bana [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha ukishalipa lazima ule tu hvyo hvyoNoma sana! Hivi nikimuomba akanikubalia ataenda home kulivua kwanza ndio aje?
Vipi kama nilipenda wowowo itakuaje?
mtuvumilie tu ,tunavaa hivo ili tupendeze wenyewe na siyo kuwatesa nyie huhuuuHahaha sijui kwann tunatesana hivi[emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Umewaza mbali Mkuu ila itakuwa ana ujanja ujanja wa kufanya mwanaume asilijue hilo.Noma sana! Hivi nikimuomba akanikubalia ataenda home kulivua kwanza ndio aje?
Vipi kama nilipenda wowowo itakuaje?
kampa sana pressure mke wangu huyu..akipita lazima nimtazame [emoji23]Hahahaaa. Ila na wewe umo banaa hivyo ikaifuatilia movie mpaka mwisho lol.
Hahahaa. Nimecheka best hivyo lengo litakuwa shingo yako iumie au ndio unataka ukamchore dada wa watu.I wish nihamie hapo anapoishi maana
hazard cfc kakosea, alipoliona angemwambia jirani umesahau nguo hujaianua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui anagesemaje hapo.....Hahahaaa. Mjini Mipango mdogo wangu na hasa baada ya kujua kwamba Mtaa mzima wa kina Hazard wanaume wanahusudu Mizigo basi dada wa watu akajua kujiongeza. Hahahaaaaa.
Hivyo akaamua aende nao sawa lol.
Si mnasema zinawashepu vizuri haswa mkivaa zile nguo za mitoko ya usikumtuvumilie tu ,tunavaa hivo ili tupendeze wenyewe na siyo kuwatesa nyie huhuuu
Karibu mkuu...migoma ipo ila sidhani kama yote ni vigodoro[emoji23] [emoji23] [emoji23]I wish nihamie hapo anapoishi maana