Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Wengine hawajali mwaya wanaona fashionHahahaaa. Itakuwa kachoka kulianika ndani anaogopa magonjwa.
Ila kwa mbaali nawaza siku zote za mwizi ni 40 hivyo huenda ikawa ndio zimefika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine hawajali mwaya wanaona fashionHahahaaa. Itakuwa kachoka kulianika ndani anaogopa magonjwa.
Ila kwa mbaali nawaza siku zote za mwizi ni 40 hivyo huenda ikawa ndio zimefika.
Hahahaaa. Mpe pole Mkeo jamaani ila ndio ukamwambie kwamba huyo dada hana lolote zaidi ya kujaladia hivyo apunguze presha.kampa sana pressure mke wangu huyu..akipita lazima nimtazame [emoji23]
hahaha kutakua hamna tena ujiran mwemahazard cfc kakosea, alipoliona angemwambia jirani umesahau nguo hujaianua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui anagesemaje hapo.....
Ndio maana siku ile ulilisahau nyumbani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo umeamua kupost huku wowowo langu
Hahaha nisamehe jirani..umetutesa sana[emoji23] [emoji23]Kwahiyo umeamua kupost huku wowowo langu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha kutakua hamna tena ujiran mwema
Hahahaaa. Na kweli hapo angemuweza hasa na sipati picha weweseko ambalo angekuwa nalo.hazard cfc kakosea, alipoliona angemwambia jirani umesahau nguo hujaianua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui anagesemaje hapo.....
Duuh! Hivyo yakija kupitwa na wakati wanaacha na kubaki na flat zao..[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wengine hawajali mwaya wanaona fashion
Analiwezea huyu dada akitembea anapishanisha miguu kama kim kardashian...zinatenge curve moja matataHahahaaa. Mpe pole Mkeo jamaani ila ndio ukamwambie kwamba huyo dada hana lolote zaidi ya kujaladia hivyo apunguze presha.
Ila wanaume nyie hapana kwa kweli lol. Nimekaa najiwazia sidhani kama akitembea linatikisika hilo dude ila ndio wenyewe mnavunjaa shingo zenu hatari.
Ndiwooooo....na Mimi nna mpango wa kwenda kununuaDuuh! Hivyo yakija kupitwa na wakati wanaacha na kubaki na flat zao..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo siku hizi simu za kisasa zimetufanya tuwe wepesi kuchukua picha au clip ya tukio kuliko kulihoji kwa undani zaidi tukio husika.Hahahaaa. Na kweli hapo angemuweza hasa na sipati picha weweseko ambalo angekuwa nalo.
Maana angejing'ata ng'ata hasaaa.
Hahahaaa. Bakiaga tu ulivyo shoo maana naona kama utapata tabu shooo.Ndiwooooo....na Mimi nna mpango wa kwenda kununua
Nimejaribu kama mara 4 ikanikatalia eti niwasiliane na uongozi wa jfLabda ndio jf mpyaa mkuu