Jirani kalisahau wowowo lake nje

Mkuu,kesho akitoka mwambie "Mungu humpa kila mja wake mifupa na damu lkn ta-core huwa ni upendeleo...umeutumikisha moyo wangu kwa miaka mitatu bila pension"
Hakika mkuu..ngoja niyaandike haya maneno ya busara kwenye notebook
 
Siku akiacha kulivaa utadhani labda vyuma vimembana kumbe mchina ameexpire[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaa. Na kweli mdogo wangu.

Ila mchina hapana aisee.
 
Godoro na org vinajulikana mbona
Nimeona Hazard kasema godoro pia huwa linatikisika etiii.

Hivyo hakuna utofauti. Au hiyo ni kwa wale wabobezi nini kwamba mpaka mwendo wanaujua ili waangushe moja moja na kuwaumiza wanaume wa watu shingo zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…