Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Wala sijali kwakweli mzee mtu anakaribishwa na yye anaenda kula maana yake nini hajui kukataa yeyeUnafiki tu mkuu wasikusumbue mbona uko vyedi [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala sijali kwakweli mzee mtu anakaribishwa na yye anaenda kula maana yake nini hajui kukataa yeyeUnafiki tu mkuu wasikusumbue mbona uko vyedi [emoji23][emoji23]
Ndio ili autafuke dukaniDah!Ndiyo ukamuingiza chaka kwamba ni mshipa?😂
EnjoyDaaah Nyuzi zingine bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
KWA bando la buku 2,si bora akanunue kidali kwa buku 2Kuku ya elfu tano unakuja kuanzisha Uzi ....
Ushawahi kuona kuku wale wanaouzwa kwenye sehemu za chips si huwa wanakatwa aidha nusu au robo. Sasa katika nusu kuna ile robo inayobeba shingo na kipapatio na ile robo inayobeba kiupaja tu.Kidali ndo kinini?
Haujaelewa jamaa amemuandalia mgeni wake akitaka afurahie chakula kizuri. Huyu jirani alitakiwa kuwa mstaarabu na muelewa kwenye hii scenario na kukausha sababu mgeni alikuwa anajaribu kuwa mkarimu tu kwa wenyeji/majirani ambao hawajui.Ukiona unaumizwa roho na mtu kula chakula chako basi elewa umefikia level mbaya sana ya umaskini wa nafsi ambao unaendena moja kwa moja na uchawi.
Chakula ni cha mgeni, mgeni kamualika jirani, jirani kachukua kipande. Sasa ndio mtu ughadhibike kiasi cha kumfokea jirani na kuandika uzi kabisa.Haujaelewa jamaa amemuandalia mgeni wake akitaka afurahie chakula kizuri. Huyu jirani alitakiwa kuwa mstaarabu na muelewa kwenye hii scenario na kukausha sababu mgeni alikuwa anajaribu kuwa mkarimu tu kwa wenyeji/majirani ambao hawajui.
Hivi umeshawahi kwenda kwa mtu unakuta ndio wanaandaa msosi muda huo huo, sasa pale huwa kwa mtu akiyestaarabika unatafuta gear ya kuondokea ili uepuke msala wa kuvunga.
Ndio maana kwa mtu ambaye amestaarabika ukitaka kula kwa mtu nenda mapema sana. Ili akiwa anaandaa chakula na wewe akupigie hesabu na kama unaona hii ni mida ya lunch basi nenda sehemu vunga kidogo au ikibidi kula hata chakula kabisa uende umeshiba ili hata ukifika ukute ndio wanamalizia kula na ukisema umeshiba itokee moyoni ila sio kuvunga na unanjaa binadamu tumeumbwa na aibu utabainika tu kuwa una njaa ila unazuga.
So kama unataka kushiriki chakula nenda kuanzia mida ya saa tano au sita kasoro mida ya lunch ila kama hautaki kushiriki nenda mida kati ya saa tisa hadi saa kumi na mbili.
KWA bando la buku 2,si bora akanunue kidali kwa buku 2
Mwombe radhi jirani yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo mwamba akaona hapa hapa. Tena kuku wa kienyeji atampata wapi tena huyo kuku siku nyingine.
Chakula ni cha mgeni, mgeni kamualika jirani, jirani kachukua kipande. Sasa ndio mtu ughadhibike kiasi cha kumfokea jirani na kuandika uzi kabisa.
Hayo yote yanabeba ishara moja tu, kuwa muandika uzi ni mchoyo aliekubuhu. Chakula ni kinyesi tu kilichokuwa kwenye process ya kwenda kutolewa maliwatoni, hakupaswa kukasirika kwa kiasi hicho.
Na hapo kala kidali tu imagine ingekuwa kuku mzima?Kuku ya elfu tano unakuja kuanzisha Uzi ....
Wewe bado haujaelewa kumbe. Yaani huyu mleta uzi alichoandika hapa ni tabia ya ulafi ya huyo jirani yake ambaye amejipendekeza kwa mgeni na kuchukua Kidali cha nyama ya kuku. Sijui unaelewa lakini kuwa kidali huwa ni kipande kikubwa sana?,Chakula ni cha mgeni, mgeni kamualika jirani, jirani kachukua kipande. Sasa ndio mtu ughadhibike kiasi cha kumfokea jirani na kuandika uzi kabisa.
Hayo yote yanabeba ishara moja tu, kuwa muandika uzi ni mchoyo aliekubuhu. Chakula ni kinyesi tu kilichokuwa kwenye process ya kwenda kutolewa maliwatoni, hakupaswa kukasirika kwa kiasi hicho.
Bila shaka utakuwa Msafwa.....
Hata mm ningebeba kidali kina minofu bhana[emoji3][emoji3][emoji3]