Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good morning!
Weekend yangu jirani yangu aliniharibia sana Ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka Mbeya huko kijiji cha Galula ambaye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni siku nyingi lakini pia watu wa kijijini wakija mjini hawaji mikono mitupu.
Kesho yake Jumamosi nikadamka mapema sana kutafuta kuku wa kienyeji mgeni asubuhi anywe supu apunguze uchovu wa safari, nikarudi na kuku wangu nikamchemsha kaiva good sana nikaenda nunua chapati.
Nikawa nimemuandalia mezani sasa hajazoea meza, akasema mjomba niwekee njee bhna huku kwenu joto kuweka nje si mgeni anakula nikasikia ghafla salamu zinaendelea nikawa nachungulia dirisha mjomba si akamwambia jirani karibu bila aibu akachukua kidali ase nilimfokea sana halafu hata hajali kaenda kwake kula vizuri.
Ujakosea mfaransa 😂😂
Mfaransa wa mchongo. Tupunguze uchoyo sio tabia nzuri.Ujakosea mfaransa 😂😂
Mimi siyo mchoyo ila kidari ndicho kimeniuma bora angechukua mguuMfaransa wa mchongo. Tupunguze uchoyo sio tabia nzuri.
Sawa unaendeleaje na mgongo lakini? Zike dawa nilizorecomend ununue VOLIN GEL na Pain killers ukaanza kuzitumia zilikusaidia?Good morning!
Weekend yangu jirani yangu aliniharibia sana Ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka Mbeya huko kijiji cha Galula ambaye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni siku nyingi lakini pia watu wa kijijini wakija mjini hawaji mikono mitupu.
Kesho yake Jumamosi nikadamka mapema sana kutafuta kuku wa kienyeji mgeni asubuhi anywe supu apunguze uchovu wa safari, nikarudi na kuku wangu nikamchemsha kaiva good sana nikaenda nunua chapati.
Nikawa nimemuandalia mezani sasa hajazoea meza, akasema mjomba niwekee njee bhna huku kwenu joto kuweka nje si mgeni anakula nikasikia ghafla salamu zinaendelea nikawa nachungulia dirisha mjomba si akamwambia jirani karibu bila aibu akachukua kidali ase nilimfokea sana halafu hata hajali kaenda kwake kula vizuri.
Sana now hapa nipo nazululaSawa unaendeleaje na mgongo lakini? Zike dawa nilizorecomend ununue VOLIN GEL na Pain killers ukaanza kuzitumia zilikusaidia?
🤣🤣🤣😂😂😂😂🤣🤣Una roho mbaya sana
Uwe mwanaglifu next time unapopanda juu kuchota maji, ukiteleza tena na kufikia mgongo kwa mara nyingine jua utautegua huo mgongo na ndo mwisho wa habari ya kutembea na kupotea kwa kumbukumbu. Kumbuka nati zishashtuka hizo.... Just a piece of advice broSana now hapa nipo nazulula
Good morning!
Weekend yangu jirani yangu aliniharibia sana Ijumaa jioni nilimpokea mgeni wangu kutoka Mbeya huko kijiji cha Galula ambaye ni uncle wangu, kaja kunisalimia nilifurahi sana maana ni siku nyingi lakini pia watu wa kijijini wakija mjini hawaji mikono mitupu.
Kesho yake Jumamosi nikadamka mapema sana kutafuta kuku wa kienyeji mgeni asubuhi anywe supu apunguze uchovu wa safari, nikarudi na kuku wangu nikamchemsha kaiva good sana nikaenda nunua chapati.
Nikawa nimemuandalia mezani sasa hajazoea meza, akasema mjomba niwekee njee bhna huku kwenu joto kuweka nje si mgeni anakula nikasikia ghafla salamu zinaendelea nikawa nachungulia dirisha mjomba si akamwambia jirani karibu bila aibu akachukua kidali ase nilimfokea sana halafu hata hajali kaenda kwake kula vizuri.
Duh unanitisha aseUwe mwanaglifu next time unapopanda juu kuchota maji, ukiteleza tena na kufikia mgongo kwa mara nyingine jua utautegua huo mgongo na ndo mwisho wa habari ya kutembea na kupotea kwa kumbukumbu. Kumbuka nati zishashtuka hizo.... Just a piece of advice bro
Je angechukua kuku na mayaiyake
😃😃 Haya bwanaMimi siyo mchoyo ila kidari ndicho kimeniuma bora angechukua mguu
Yeye ajui kukataaSasa wewe hapo unakereheka kitu gani??!!--- mjomba mwenyewe ndiye aliyemkaribisha kwenye mlo wake huyo jirani au huo mlo na wewe ulitaka kula pamoja na mjomba wako??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mimi siyo mchoyo ila kidari ndicho kimeniuma bora angechukua mguu
Hivi wewe sio kikoozi kweli???huyu jamaa ndio huwa ana mambo ya hovyo ya hivi 🤣🤣🤣🤣🤣Je angechukua kuku na mayaiyake
P
Ni bora akwambiaye ukweli kuliko akudanganyaue alafu madhara yakishatokea anakaa mbali. Mwili wa binadamu ni kama unavyoona gari linavyotembea. Kifaa kimoja kikipata hitirafu bila kukirekebisha ipasavyo ubovu huongezeka na ikitokea kikaguswa kwa mara nyingine, tatizo huwa kubwa zaidi. Nati iliyofungwa na muundaji gari ni tofauti na atakayokuja kuirekebisha fundi baadae. Just relate it to human body and organsDuh unanitisha ase