Jirani kaniudhi sana siku ya Jumamosi

Wewe ni me au ke? Tuanzie hapa kwanza
 
Sawa unaendeleaje na mgongo lakini? Zike dawa nilizorecomend ununue VOLIN GEL na Pain killers ukaanza kuzitumia zilikusaidia?
Back to the topic; Nnext time usimkaripie jirani maana utapanda roho ya uchoyo Kati yenu, hapo alichukua kidari, je angechukua mapaja yote mawili ingekuwaje mkuu?😄
 
Sana now hapa nipo nazulula
Uwe mwanaglifu next time unapopanda juu kuchota maji, ukiteleza tena na kufikia mgongo kwa mara nyingine jua utautegua huo mgongo na ndo mwisho wa habari ya kutembea na kupotea kwa kumbukumbu. Kumbuka nati zishashtuka hizo.... Just a piece of advice bro
 


Sasa wewe hapo unakereheka kitu gani??!!--- mjomba mwenyewe ndiye aliyemkaribisha kwenye mlo wake huyo jirani au huo mlo na wewe ulitaka kula pamoja na mjomba wako??
 
Duh unanitisha ase
 
Jirani sio mstaarabu na humu wenye tabia kama za jirani wa mtoa mada hamna ustaarabu. Chakula ameandaliwa mgeni unakaribishwa na mgeni hata huvungi. Huo uroho na sio ustaarabu kabisa.

Sio kila ukiambiwa karibu basi ukaribie chaaaa
 
Duh unanitisha ase
Ni bora akwambiaye ukweli kuliko akudanganyaue alafu madhara yakishatokea anakaa mbali. Mwili wa binadamu ni kama unavyoona gari linavyotembea. Kifaa kimoja kikipata hitirafu bila kukirekebisha ipasavyo ubovu huongezeka na ikitokea kikaguswa kwa mara nyingine, tatizo huwa kubwa zaidi. Nati iliyofungwa na muundaji gari ni tofauti na atakayokuja kuirekebisha fundi baadae. Just relate it to human body and organs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…